Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktkt ndio wapi mkuu?
zamu hii kazi mnayo kwa wachezaji wenu kama shabani akikimbia kama kiuno mbovuWakati wa kelele ndiyo huu. Ila ligi ikichanganya, mnakimbilia kumlalamikia GSM kwa kuwahonga wachezaji wenu hao hao mnao wapamba sasa.
Ila nyie mkipamba hao wagonjwa na wastaafu wenu ruksa?Wakati wa kelele ndiyo huu. Ila ligi ikichanganya, mnakimbilia kumlalamikia GSM kwa kuwahonga wachezaji wenu hao hao mnao wapamba sasa.