ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Hii team Hakika Rage alikuwa nabii kuwaita mbumbumbu
Matatizo ya team Yao hawayaoni, hawahoji chochote eanajidanganya eti ni team namba 6 Africa 😆
Simba wanadanganywa na nafasi waliopanda kwa Africa nafasi waliyoipata kipindi kina Miquison wapo katika ubora wao.
Tofauti kati ya Simba na pamba jiji ni nafasi tu lakini kwa ubora wa kikosi hamna tofauti kubwa..
Uongozi umeshawasoma mashabiki wao baada ya kukosa ngao ya jamii wameamua kuleta Striker kutuliza mpasuko kwa mashabiki.
Soma Pia: Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25