Gongowazi utawaweza wamewehuka na Aziz Ki. Kuingia Champion league mara moja tu wameshaotesha mabawa π π πKwahiyo viongozi wa Simba ndio wanaozitoa hizo ranking
Makolo ni Makolo tu, Manguruwe ni manguruwe tu π€£π€£π€£Mapumbaff ninyi.Kwa hiyo mmenuna?Ngedere wakata umeme.π€£π€£π€£π€£π
Tutaona.Makolo ni Makolo tu, Manguruwe ni manguruwe tu π€£π€£π€£
Wanajua basi hilo!!?Kwahiyo viongozi wa Simba ndio wanaozitoa hizo ranking
Kwani hzo takwimu wamezitoa Simba au CAF acha kukaza kichwaHii team Hakika Rage alikuwa nabii kuwaita mbumbumbu
Matatizo ya team Yao hawayaoni, hawahoji chochote eanajidanganya eti ni team namba 6 Africa π
Simba wanadanganywa na nafasi waliopanda kwa Africa nafasi waliyoipata kipindi kina Miquison wapo katika ubora wao.
Tofauti kati ya Simba na pamba jiji ni nafasi tu lakini kwa ubora wa kikosi hamna tofauti kubwa..
Uongozi umeshawasoma mashabiki wao baada ya kukosa ngao ya jamii wameamua kuleta Striker kutuliza mpasuko kwa mashabiki..
Kutamba ni lazima kwakuwa hakuna timu nyingine kutoka Tz Zaidi ya simbaSimba ndo wanatambia wakati team lao liko uji
Sio suala Hilo kwani ikiwa shirikisho haitakiwi kuwa kwenye viwango vya CAF?Simba ipo shirikisho
Hujui basiHaitakiwi