Simba hizo rank za CAF hazina uhalisia wa timu kwa sasa, viongozi wanazitumia kuwapumbaza

Sasahivi imeshuka ni nafasi ya 7.
 
WANAWAKE MNA WIVU... ANYWAY TUWAACHIE SIMBA YAO.
 
Badala ya kuwalaumu Simba, uwalaumu CAF wanaozitoa, ambayo ndio mwanachama wa FIFA, ambayo ndio Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani, mpira ambao unaulalamikia takwimu zake
 
Badala ya kuwalaumu Simba, uwalaumu CAF wanaozitoa, ambayo ndio mwanachama wa FIFA, ambayo ndio Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani, mpira ambao unaulalamikia takwimu zake
Umeliona striker lenu lenye goal 1
Mbumbumbu hizo rankings hazihusiani na uhalisia wa Sasa ni za kipindi kile team ina akina Mugalu, kahata, bwalya
 
Mwenye, Africa club ranking atuwekee hapa tuone kama ni kweli. Maana aliyeanzisha uzi amegoma kuweka.
 
Yikpe alikuja na rekodi kali hadi akagoma kufanyiwa majaribio. Wapi Mamadou Doumbia, wapi mchezaji wa Newcastle ya EPL, wapi Skudu Makudubela na Carlinhos πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hasidi huwa hakosi sababu. Kunya anye kuku akinya BATA kaharisha.
Hakuna timu inayopenda kusajili Bomu ni pata potea. Bora umewakumbusha.
 
Si tulikuwa tunaenda wote CAFCL??

Haya na we Utopolo kuwa wa kwanza basi ulizike.

NASISITIZA, Maumivu yakizidi Muone Daktari
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…