Simba hizo rank za CAF hazina uhalisia wa timu kwa sasa, viongozi wanazitumia kuwapumbaza

Huo Mwiko ukiuma uchomoe
 
Umeliona striker lenu lenye goal 1
Mbumbumbu hizo rankings hazihusiani na uhalisia wa Sasa ni za kipindi kile team ina akina Mugalu, kahata, bwalya
Kwani mwaka jana Simba ilipofika robo fainali akina Mugalu, Kahata na Bwalya walikuwepo? utopolo nao waliishia hatua gani?
 
Mngechukua kombe la Shirikisho SASA hivi mngekuwa kwenye ' single digit'.
 
Viongozi wa simba hawajatoa rank yoyote huko CAF halafu kipindi cha kina hao wakina miqson simba ilifika hatua gani club bingwa na msimu uliopita bila hao wakina miqueson simba imeishia hatua gani
 
Viongozi wa simba hawajatoa rank yoyote huko CAF halafu kipindi cha kina hao wakina miqson simba ilifika hatua gani club bingwa na msimu uliopita bila hao wakina miqueson simba imeishia hatua gani
Kwaiyo basi Simba ni team nzuri lakini unakula 5
 
Simba ni mbovu ila anayeumia ni wewe,tutakuinamisha mwaka huu
 
Kama CAF wameshindwa kufanya wenye point nyingi wapate nafasi ya kucheza klabu bingwa badala ya kombe la shirikisho basi hizo rank hazina maana. Yaani timu inashika nafasi ya 7 lakini haruhusiwi kucheza klabu bingwa kama hajafuzu ligi kuu, ni rank isiyo na msaada
 
Mbumbumbu kila siku wanashangilia hizo rankings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…