kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Watumie ile mbinu ya miaka yote kupulizia madawa kwenye vyumba vya wapinzani.
Formation yako ya 4-4-2 ni ya zamani sana.Habari wanabodi
Kwangu mimi kama mwanasimba nafikiria siku hiyo katikati acheze nyoni kuwaprotect onyango na wawa au onyango acheze na ame/nyoni ktkt acheze kapombe kusaidia kukaba. Lakini kule mbele tuwawekee kagere + mugalu toka mwanzo kwa sbb hatuna cha kupoteza tunhatj magoli mengi ya haraka haraka. Mwl asisubir dk zimeyoyoma kuwaweka watu wa wawili mbele. FC platinum inaoneakana wanaclose uwanja muda wote kwa hiyo nafasi za wazi za kufunga zinapotea. Dawa ya hii ni kuwawekea watu wawili mugalu the animal huwa hakosei. Kagere the fight muda halembi. Mwisho tukiwa hatuna mpira tukabe kweli kweli hasa kuanzia nyuma inaonekana wanaspeed kwenye kaunta. Na wachezaj wa simba wasiwe wabinafsi kuiua game, ugenini walikuwa wabinafsi kila wakipata nafasi wanataka kufunga hata kama hawapo kwenye nafasi nzuri...
Nyoni ni overrated sana.Itandaze ball ya uhakika na pale golini waache kigugumizi cha miguu ili waibuke kidedea.
Tunawunga As Vita mkude hakuwepo....mkude nae ni overrated Sana ukimwangalia style ya mkude anavyo receive Hadi anatoa pass anatumia Kama second 3 kufanya maamuziNo mkude no party.
Hicho ndio kinawacost Simba wanakaa nq mpira muda mrefu mpaka adui anakuja kuziba nafasi ule mpira wa Fraga tumeumiss sanaTunawunga As Vita mkude hakuwepo....mkude nae ni overrated Sana ukimwangalia style ya mkude anavyo receive Hadi anatoa pass anatumia Kama second 3 kufanya maamuzi
Yeah ...bwalya naona Ana maamuzi ya haraka na Luis ni watu wa one touch wanafungua timu inaenda mbele..Bwalya akianza platnum tunawafunguaHicho ndio kinawacost Simba wanakaa nq mpira muda mrefu mpaka adui anakuja kuziba nafasi ule mpira wa Fraga tumeumiss sana
Mechi hii angeanza fraga na Bwalya mechi ishaishaHicho ndio kinawacost Simba wanakaa nq mpira muda mrefu mpaka adui anakuja kuziba nafasi ule mpira wa Fraga tumeumiss sana
Kabisa mkuuninatumaini ulikuwa unamaanisha ITC.
Mbona kama mnampaisha sana Chikwende? Huyo si ameifunga Simba kama Adam Adam anavyoifunga Simba tu? Katika mechi kama timu imepat goli, maana yake kuna mfungaji, lakini haimaanishi kuwa lazima mfungaji ndio mchezaji hatari kuliko wengine. Mbona hata Sarpong anafunga, naye anaweza kuitwa ni mchezaji hatari? Tuache ushambaPacha ya Wawa na Onyango hawamuwezi Chikwende
Wawa + Nyoni hapo sawa
Au Wawa + Ame + Nyoni kama kiungo mkabaji
Kwa msaada wa marefa.eti simba beki mbovu!!! pumbafuuuuuu!!! endeleeni kuota tu!!! beki mbovu na huku ndo ina magoli machache ya kufungwa kuliko timu yoyote ligi kuu
Unaumia kutokea pande zipi za dunia mkuu??tuma google locationKwa msaada wa marefa.
Ha ha ha haMtoeni Haji kafara