Simba ifanyeje kuwauaa FC PLATINUM

Simba ifanyeje kuwauaa FC PLATINUM

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Habari wanabodi

Kwangu mimi kama mwanasimba nafikiria siku hiyo katikati acheze nyoni kuwaprotect onyango na wawa au onyango acheze na ame/nyoni ktkt acheze kapombe kusaidia kukaba. Lakini kule mbele tuwawekee kagere + mugalu toka mwanzo kwa sbb hatuna cha kupoteza tunhatj magoli mengi ya haraka haraka. Mwl asisubir dk zimeyoyoma kuwaweka watu wa wawili mbele. FC platinum inaoneakana wanaclose uwanja muda wote kwa hiyo nafasi za wazi za kufunga zinapotea. Dawa ya hii ni kuwawekea watu wawili mugalu the animal huwa hakosei. Kagere the fight muda halembi. Mwisho tukiwa hatuna mpira tukabe kweli kweli hasa kuanzia nyuma inaonekana wanaspeed kwenye kaunta. Na wachezaj wa simba wasiwe wabinafsi kuiua game, ugenini walikuwa wabinafsi kila wakipata nafasi wanataka kufunga hata kama hawapo kwenye nafasi nzuri...
 
Hakuna beki nchi kama wawa iliwa Ame atacheza basi ataanza na wawa
Lwanga nasikia vibali vyake vimekabilika na itv imefika nafikiri ataanza hapo kati
Kuanzisha washambuliaji wawili inabidi upunguze kiungo mmoja aidha mkabaji au kiungo mshambuliaji pendekeza sasa nani apungue ndemla ama bwalya
Itapendeza kama mksoni akicheza kutokea kati
 
Wakaroge/ wamtumie yule mganga wao aliewasaidia kuwafunga Waarabu na As Vita Club.
 
Pacha ya Wawa na Onyango hawamuwezi Chikwende

Wawa + Nyoni hapo sawa

Au Wawa + Ame + Nyoni kama kiungo mkabaji
 
Itandaze ball ya uhakika na pale golini waache kigugumizi cha miguu ili waibuke kidedea.
 
utopolo endeleeni kuhangaika!! simba ilishapiga hatua sana kwenye soka sidhani kama tutasikiliza mbinu zenu za vijiweni. simba sasahivi inapigana usiku kucha kuhakikisha jirani nae anacheza klabu bingwa mwakani kupitia mbeleke tunayoindaa sasahivi..... ko tulia mwakani mtaingia clab bingwa kwa mbeleko kama unabisha tunza uzi huu tutakumbushana!
 
Hakuna beki nchi kama wawa iliwa Ame atacheza basi ataanza na wawa
Lwanga nasikia vibali vyake vimekabilika na itv imefika nafikiri ataanza hapo kati
Kuanzisha washambuliaji wawili inabidi upunguze kiungo mmoja aidha mkabaji au kiungo mshambuliaji pendekeza sasa nani apungue ndemla ama bwalya
Itapendeza kama mksoni akicheza kutokea kati
Taratibu mkuu. ITC sio ITV.
 
Back
Top Bottom