Simba ikifungwa na Yanga tarehe 8/03 nipigwe ban ya mwaka mmoja

Simba ikifungwa na Yanga tarehe 8/03 nipigwe ban ya mwaka mmoja

Sasa hao uliowataja wana nini labda cha maana....
Swalo zuri
Tukianza na Max Nzengeli amefunga derby zote na almost hatrick kwenye ushindi wa 5 -1 pia ana medali ya CAF

Pacome ameshafunga derby ya 5-1 hajawahi kufungwa na Simba

Aziz ki amefunga katika derby zote pamoja na tobo mbili pia ana medali ya CAF

Mzize hajawahi kufungwa na makolo na alishiriki kikamilifu kwenye ushindi wa 5-1 pia ana medali ya CAF
 
Back
Top Bottom