Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 1, 2025 #21 Tatizo utaanza kulia lia uonewe huruma
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Mar 2, 2025 #22 MwananchiOG said: Sub za Yanga Mzize, Pacome, Aziz ki, Chama,Maxi Sub za 5imbq Balua,Ahoua,Kibu D Na upo serious unasema utamfunga Yanga? Click to expand... Sasa hao uliowataja wana nini labda cha maana....
MwananchiOG said: Sub za Yanga Mzize, Pacome, Aziz ki, Chama,Maxi Sub za 5imbq Balua,Ahoua,Kibu D Na upo serious unasema utamfunga Yanga? Click to expand... Sasa hao uliowataja wana nini labda cha maana....
MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 1,970 Reaction score 4,037 Mar 2, 2025 #23 Kalpana said: Sasa hao uliowataja wana nini labda cha maana.... Click to expand... Swalo zuri Tukianza na Max Nzengeli amefunga derby zote na almost hatrick kwenye ushindi wa 5 -1 pia ana medali ya CAF Pacome ameshafunga derby ya 5-1 hajawahi kufungwa na Simba Aziz ki amefunga katika derby zote pamoja na tobo mbili pia ana medali ya CAF Mzize hajawahi kufungwa na makolo na alishiriki kikamilifu kwenye ushindi wa 5-1 pia ana medali ya CAF
Kalpana said: Sasa hao uliowataja wana nini labda cha maana.... Click to expand... Swalo zuri Tukianza na Max Nzengeli amefunga derby zote na almost hatrick kwenye ushindi wa 5 -1 pia ana medali ya CAF Pacome ameshafunga derby ya 5-1 hajawahi kufungwa na Simba Aziz ki amefunga katika derby zote pamoja na tobo mbili pia ana medali ya CAF Mzize hajawahi kufungwa na makolo na alishiriki kikamilifu kwenye ushindi wa 5-1 pia ana medali ya CAF