Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Ndio uelewa, Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali, na Sheikh Karume ndio alitowa pesa za hayo majengo ya hizo club Jangwani na Msimbazi.Hakuna tatizo, hata ardhi yote inamilikiwa na serikali nlakini tunasema "kiwanja changu", "shamba langu" na tunajenga nyumba zetu.
Sunderland ndio ilikuwa timu ya Waarabu serikali wakaipora kutoka kwa wamiliki wakaibadili jina na ikapewa jina la Kawawa Simba wa Vita.
Mo Dewji anaujuwa ukweli na GSM wanaujuwa ukweli, wanakula na vipofu lakini wenye timu wenyewe halisi wapo, au muulize Manji atakueleza vizuri.
Hakuna tatizo, hata ardhi yote inamilikiwa na serikali nlakini tunasema "kiwanja changu", "shamba langu" na tunajenga nyumba zetu.