Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

Waarabu Leo watacheza kufa na kuponq mkuu.....huku wakijutia kutoshinda kwao

So Leo watakuja kujilipua
 
Hii ni michezo tuu na michezo ina matokeo matatu . usipende kujiapiza ujinga kila wakati kuna siku utaomba kuwolewa na wakakuwowa kweli
Hapana mkuu....haiwezi tokea ....japo Simba ya saizi sio ya kuibetia
 
Kwakweli SIMBA mimi nimeshaichoka, MO - DEWJI atuachie Timu yetu

Kiukweli inaumiza sana, Bora kama tungekuwa hatujasajili, sasa timu imesajili wachezaji 14 lakini hamna kitu

Nitahama timu soon
 
Kuna namna tuifanye kama taifa ya kumpatia boka uraia wa Tanzania.

Hili tuje tumtumie kwenye michezo ya olympic kwenye mbio za riadha.

Huyu nina uhakika atarudi na medali ya dhahabu.
Wenzetu wapo fit sana sio lege lege kama sisi..jamaa ana control akili ya mpira na Stamina ya kutosha.
 
Teh teh teh .....kumbe kina pirato ni wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…