Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

Kwa matokeo ya Yanga ya jana, Simba leo atajituma sana kupata matokeo mazuri. Kwahiyo ataingia mchezoni akitazama matokeo mazuri ya wahasibu wake, pili akiwaza ushindi wake.

Simba akikaza kipindi cha kwanza ashinde hata moja basi ana nafasi kubwa sana ya kutoka na matokeo hata ya 2 bila au 3. Akishindwa kupata matokeo first half, uwezekano wa kutolewa ni 80%.
Waarabu Leo watacheza kufa na kuponq mkuu.....huku wakijutia kutoshinda kwao

So Leo watakuja kujilipua
 
Hii ni michezo tuu na michezo ina matokeo matatu . usipende kujiapiza ujinga kila wakati kuna siku utaomba kuwolewa na wakakuwowa kweli
Hapana mkuu....haiwezi tokea ....japo Simba ya saizi sio ya kuibetia
 
Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii
emoji24.png
Moderator zingatia hili
 
Kwakweli SIMBA mimi nimeshaichoka, MO - DEWJI atuachie Timu yetu

Kiukweli inaumiza sana, Bora kama tungekuwa hatujasajili, sasa timu imesajili wachezaji 14 lakini hamna kitu

Nitahama timu soon
 
Kuna namna tuifanye kama taifa ya kumpatia boka uraia wa Tanzania.

Hili tuje tumtumie kwenye michezo ya olympic kwenye mbio za riadha.

Huyu nina uhakika atarudi na medali ya dhahabu.
Wenzetu wapo fit sana sio lege lege kama sisi..jamaa ana control akili ya mpira na Stamina ya kutosha.
 
Habari ndugu Active ,
naomba usome title ya huu uzi,

Kama utatekeleza Ahadi kwa huyu Member mwenzetu Labani og ,
mimi nitakununulia bundle la elfu moja kulingana na uchumi wangu.

Nisipotekeleza Ahadi yangu nipigwe ban ya mwezi mzima. Nimeridhia mimi kama Rayns na niko Tayari.


JamiiForums Forever
Teh teh teh .....kumbe kina pirato ni wengi
 
Back
Top Bottom