MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Pamba Jiji BINGWA
DaimaMbele
DaimaMbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maboko PambaIkijitahidi sana ni draw. Sioni ikishinda magoli. Labda itashinda njaa tu. Pamba leo wanashinda. Kwa makafara waliyoyatoa? Mikia kipigo kipo. Tena kipo kweli kweli.
Simba ikishinda nipigwe BAN YA SIKU 3. Najua hilo la Simba kushinda halipo. Wakijitahidi sana ni kutoa Draw. Hapo wamejitahidi sana. Watu wameenda mpaka visiwani huko kutafuta ushindi tena leo ijumaa majini yapo active sana na yamepewa damu... Sioni Mikia kushinda. Sioni
Asalamaleko.
Unasababu gani ya kutujulisha? Moderators muwe mnafuta nyuzi za kipuuzi kama hii.Ikijitahidi sana ni draw. Sioni ikishinda magoli. Labda itashinda njaa tu. Pamba leo wanashinda. Kwa makafara waliyoyatoa? Mikia kipigo kipo. Tena kipo kweli kweli.
Simba ikishinda nipigwe BAN YA SIKU 3. Najua hilo la Simba kushinda halipo. Wakijitahidi sana ni kutoa Draw. Hapo wamejitahidi sana. Watu wameenda mpaka visiwani huko kutafuta ushindi tena leo ijumaa majini yapo active sana na yamepewa damu... Sioni Mikia kushinda. Sioni
Asalamaleko.
Si useme tukupelekee mitiIkijitahidi sana ni draw. Sioni ikishinda magoli. Labda itashinda njaa tu. Pamba leo wanashinda. Kwa makafara waliyoyatoa? Mikia kipigo kipo. Tena kipo kweli kweli.
Simba ikishinda nipigwe BAN YA SIKU 3. Najua hilo la Simba kushinda halipo. Wakijitahidi sana ni kutoa Draw. Hapo wamejitahidi sana. Watu wameenda mpaka visiwani huko kutafuta ushindi tena leo ijumaa majini yapo active sana na yamepewa damu... Sioni Mikia kushinda. Sioni
Asalamaleko.
Hata mimi mwanzo nilikuwa siamini, nilikuwa naona kama masihara tu hadi niliposhuhudia.Sijawahi kuona
Asije akajitetea, upige TOFARI la kichwa akae kabatini hata mwezi 🤔Usije sema ulikuwa unatania.
Na bahati pia.., this tends to happen oftenly than you might think... Ingekuwa ni issue ya quality tu basi points kapuni basi Bookies wasingefanya biashara...Mnajiaminishaga ujinga Mpira auko ivyo, kama timu ni mbovu ata wakiwekewa bilioni Moja aiwezi kushinda mechi kinachoshinda ni quality ya wachezaji na maandalizi Bora na si vinginevyo
Nafuatilia kwa karibuActive usikae mbali.
Kwahiyo aombe afanywaje?Sasa ban umekiuka Sheria Gani ya jf?