NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Kama wewe ni shabiki wa Mpira na unaangalia mpira wa timu za hapa nchini utatambua kwa nini Simba SSC haipati matokeo. Ukiacha kufungwa magoli ya Corner na Free Kicks ambazo wana wanashindwa kucheza vizuri. Wachezaji karibia 90% wa Simba hawawezi kukaa na mpira yaani kupiga chenga na kufosi matokeo. Ukimuacha Bernard Morrison, Mohamed Hussein , Pape Sakho na Kidogo Shomari Kapombe wote waliobaki hawawezi kutembea na mpira.
Ukiwa na mchezaji anayejua kutembea na mpira ni rahisi kupenya na kusababisha madhara kwa adui muda wowote. Wote tunaona kwanini Cameroon kwanini kashindwa kupata matokeo kwake dhidi ya Algeria. Sababu kubwa wachezaji wake wanacheza pasi sana kuliko kufosi kuingia sehemu za Adui na kuleta madhara.
Pale mbele Simba SSC walete wachezaji wanaoweza kupiga chenga na kusumbua beki za Adui mfano wa Pape Sakho. Huwezi kuwa na Striker ambaye hawezi kuhold mabeki hata wawili na kukimbia na mpira golini mwa adui. Mimi sijui Kamati ya Usajili huwa inaangalia nini kabla ya kuchuku mchezaji. Ila kwa mpira wa kisasa inabidi huwe na striker mwenye vingi sio kufunga tu.