John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa mpira waliocheza najaribu kufikiria endapo wangekutana hata na USM Algers hakika wangechezea nyingi sana.Hivi wangekutana na timu kama Young Africans nadhani kwa sasa Tanzania ingekuwa imepata muwakilishi katika fainali za CAFCL.
Wydad ni timu mbovu mno, Simba ni wabovu zaidi ndiyo maana ilishindwa kuwafunga.Nadhani wakati umewadia kama taifa Young Africans kwenda kuonyesha na kufundisha vilabu vya Tanzania namna ya kushinda ugenini kwa waarabu na kutinga fainali CAFCL.
Wydad ilistahili kuishia makundi kwenye CAFCC.