Simba iliwezaje kufungwa na timu mbovu Wydad AC? Hakika Ingekuwa Yanga taifa lingekuwa fainali

Fainali ipi? Ya losers tu imewashinda
 
Najaribu kuangalia hoja yako katika angle tofauti na huenda una sababu ya msingi maana kama USMA alimtoa As Far Rabat basi anaweza kumtoa Wydad

Conclusion; Kama sio figisu hawa waarabu wa USMA walikuwa wapigwe 2-0 au 3-0 na Young Africans
Kwa mujibu wa ramli mlizopewa na vile vizee vyenu au ni umechanganyikiwa
 
Sasa mngekutanaje na wydad akat al hilal aliwafurusha mapema kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua USM ALGERS ni wangapi kwenye ligi yao?

MALUMO GALLATS wangapi kwenye ligi yao?
USM Algers wana wachezaji wanne timu yao ya Taifa, yule golikipa, mabeki 2 na forward mmoja katika Taifa lililo na mastaa kibao Ulaya. Hivyo tukubali wana kikosi Bora licha ya nafasi yao ya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…