Simba imewahi kuchapwa 4-1 na TP Mazembe

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baada shangwe za Jana ( wananchi kuliokoa taifa na kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumpiga mazembe nje ndani)

Najua makolo mmesahau

Leo Baada ya kutulia na kuanza kufuatilia historia ya soka hapa bongo ndipo nmeona hii habari kuwa mwaka 2019 makolo wamewahi kuchapika kichapo heavyweight Kwa Tp Mazembe 4 ____1 Kwa timu hii hii ambayo imenyanyaswa na wananchi

Wafungaji wa Tp Mazembe

K. Chongo

M. Elia

T. Mputu

J. Muleka

NB: Be proud tumewalipia kisasi
 
Ndio ni kweli,ila ni matokeo ya mpira,na uwekezaji.

Simba amewahi kumfunga yanga zaidi ya goli nne vilevile,ni kwamba yanga now wako vizuri,simba kuna sehemu wamekosea hasa kwenye usajili.

Hakuna asiyejua Liverpool ilivyokuwa inaibamiza Manchester city zaidi ya miaka miwili iliyopita lakini juzi amepigwa bao 4 na hao hao Manchester city.
Chelsea vile vile.
 
Lkn Yanga ndio timu inayoongoza kumfunga simba
 
Kwa niaba ya mashabiki wa Simba, nawapongeza Yanga kwa kulipa kisasi kwa Mazembe. Ombi lingine ni Yanga itusaidie pia kumfunga Vita, ule mkono waliotupiga ilikuwa ni udhalilishaji wa aina yake. Naweka na ushahidi hapa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wanaona kama hawaoni
 
Ur request...... accepted

Round hii as vita wametukimbia....but tukikutana nao tutawalipia
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…