Simba imewahi kuchapwa 4-1 na TP Mazembe

Simba imewahi kuchapwa 4-1 na TP Mazembe

Sasa kama nyie wabovu mlifunga....kwetu this time atakula nyingi
Hiyo this time hata huyo mazembe hakutupiga this time, kama unamzungumzia ya Simba kupigwa kipindi hicho hata wewe raja alikupiga 6
 
Baada shangwe za Jana ( wananchi kuliokoa taifa na kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumpiga mazembe nje ndani)

Najua makolo mmesahau

Leo Baada ya kutulia na kuanza kufuatilia historia ya soka hapa bongo ndipo nmeona hii habari kuwa mwaka 2019 makolo wamewahi kuchapika kichapo heavyweight Kwa Tp Mazembe 4 ____1 Kwa timu hii hii ambayo imenyanyaswa na wananchi

Wafungaji wa Tp Mazembe

K. Chongo

M. Elia

T. Mputu

J. Muleka

NB: Be proud tumewalipia kisasi View attachment 2575230
..
JamiiForums-1474967842.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hiyo this time hata huyo mazembe hakutupiga this time, kama unamzungumzia ya Simba kupigwa kipindi hicho hata wewe raja alikupiga 6
[emoji23][emoji23] sawa Mzee umeshinda
 
MAKOLO mmechukua marachache sana
Mpaka leo una maumiv ya kukacha nan mtaji jembe tangu lile pambano lianzishwe utopolo haikupata ushindi mbele ya mnyama mkaona yanini aibu bora mtani jembe isitishwe hamtoshiriki ten
 
Mpaka leo una maumiv ya kukacha nan mtaji jembe tangu lile pambano lianzishwe utopolo haikupata ushindi mbele ya mnyama mkaona yanini aibu bora mtani jembe isitishwe hamtoshiriki ten
Hayo Makombe ya kuku siyo level yetu mkuu
 
Mngekutana na mazembe ya wakati huo saizi mngekuwa mmevaa chupi kichwani.
 
Mazembe ya sasa inavilema watupu.
 
Back
Top Bottom