SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Upo sahihi kabisa. Simba itaendelea kuteseka kwa Zimbwe kuwa ndiye captain (kama ambavyo misimu hii miwili ya mwishoni iliteseka kwa ucaptain wa Bocco), kwa sababu wanapata ugumu kumpa captain sub au kumuanzia nje. Yupo yule dogo mwingine mpya aliye bora kuliko yeye ila sitegemei kama atakuja kupewa nafasi, kila siku tutabaki kulia tu "Zimbwe anahitaji mbadala", halafu wakija hao mbadala wanasugua benchi hadi wanaachwa.Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni. Pamoja na upya wa kikosi Simba haijaonesha uhai wowote katika safu ya ushambuliaji, Kabla ya kumtafuta wa kuangushiwa jumba Bovu nawashauri Simba kuingia Sokoni Kutafuta Capten mwenye experience ambaye atakuja kuokoa Jahazi
Pia juzi nilisema Che Malone ndiye atakayeamua mafanikio ya Simba msimu huu.