Simba inahitaji kiongozi Uwanjani

Upo sahihi kabisa. Simba itaendelea kuteseka kwa Zimbwe kuwa ndiye captain (kama ambavyo misimu hii miwili ya mwishoni iliteseka kwa ucaptain wa Bocco), kwa sababu wanapata ugumu kumpa captain sub au kumuanzia nje. Yupo yule dogo mwingine mpya aliye bora kuliko yeye ila sitegemei kama atakuja kupewa nafasi, kila siku tutabaki kulia tu "Zimbwe anahitaji mbadala", halafu wakija hao mbadala wanasugua benchi hadi wanaachwa.

Pia juzi nilisema Che Malone ndiye atakayeamua mafanikio ya Simba msimu huu.
 
Unaumia ikiwa wapi kolokwinyo?
Mshindi ndo unaandika paragraph yote hii?
Ungefungwa je?tatizo mliingia na matokeo yenu ya kushinda goli nyingi kudhani wenzenu wamesimama.
Furahia ushindi utopolo.
 
Pia usisahau na lile povu lako la jana,
kwamba munashinda leo .........kiko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…