Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Una mchanganyiko wa mambo mengi kwenye hoja mojaMechi na Power Dynamo ndie aliamua matokeo
uchambuzi hovyo sanaa huuWale galaxy wale wa msimu huu..
Wametinga makundi kwa kibabe kwa kumtoa Orlando pirates kwake.
Mechi ya kwanza ya makundi wamepata point 3 wamemfunga finalist Waydad casablanca kwake Morocco.
Naona kabisa Simba mwenye migogoro anaelekea Botswana na yeye kumpelekea Jwaneng Galaxy point 3.
Kama Orlando na Waydad wamekufa.. sioni Simba anaponaje
muda ni mwalimu mzuri ninyi wajukuu wa Baca dayMfumo ulikuwa unawekwa sawa mkuu kuanzia kwa kocha hadi wachezaji kesho kitu utaona hutaamini macho Yako ni yanga anaenda next level
Al Ahly kayakanyaga
Senzo anacheza namba ngapi uwanjani?Senzo yupo pale kama director wa ligi ya Botswana na jamaa anajua sana kuuza ma file pale lazima Simba alale hamna hamna 2
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbna sielewi coment yako Kam vile unawaambia ukiwa weew Ni yanga scKwahyo Boko ndo chanzo cha Simba kupoteana??
Ila kazi mnayo...
Sema kazi tunayoKwahyo Boko ndo chanzo cha Simba kupoteana??
Ila kazi mnayo...
HaponiWale galaxy wale wa msimu huu..
Wametinga makundi kwa kibabe kwa kumtoa Orlando pirates kwake.
Mechi ya kwanza ya makundi wamepata point 3 wamemfunga finalist Waydad casablanca kwake Morocco.
Naona kabisa Simba mwenye migogoro anaelekea Botswana na yeye kumpelekea Jwaneng Galaxy point 3.
Kama Orlando na Waydad wamekufa.. sioni Simba anaponaje
Wa kwako waliopostiwa wameshinda ngapi Kama kupostiwa ndio ushindi? Akili zenu anazijua mangungu peke yake!Hao hawajui hata wachezaji wao wako wapi maana toka wamerudi kutoka kwenye kichapo hawajapostiwa halafu wanatuambia wanaendeshwa kisasa
Mpira hauko hivyo, siyo kama hesabu za mlinganyo ndg zangu. tujenge utamaduni wa kuhesshimu mchezo ndani ya dk 90. Huu utani sasa unapoteza maana.
Sio Simba tu, huruma kama hizi hazifai kwa mtaka maendeleo endelevu, ndiyo kitu kinatufelisha Simba na watanzania kwa sasa. Kuna watu wanakula bila jasho lolote na hiyo ni mbaya. Pesa nyingi inaishia kwa CHAWA kuliko kufanya maboresho ya klabu au nchi.Aisee[emoji848][emoji848]kwa hiyo hivi ndio namna Simba mtakuwa mnawakumbuka wale waliopigania badge ya team !?
Pale hamna kipa,Naumia sana nikimuona Meshaki Abel akisugua jukwaani ilihali uwezo wake anamzidi hadi Ally SalimTunamtaka Ayubu golini.
Guvu Moya
Huruma isiwe kwa wote ila huyu ni legend si tulimpa Canavaro heshima hadi alipostaafu pale pale nyumbani ndivyo shujaa anavyoheshimiwa kumbuka Boco ni all time top scorer wa ligi yetu infact hata kiatu Cha mfungaji Bora kinapaswa kupewa jina lake Sasa mnamuachaje tena kwa maneno ya dharau kama hayaSio Simba tu, huruma kama hizi hazifai kwa mtaka maendeleo endelevu, ndiyo kitu kinatufelisha Simba na watanzania kwa sasa. Kuna watu wanakula bila jasho lolote na hiyo ni mbaya. Pesa nyingi inaishia kwa CHAWA kuliko kufanya maboresho ya klabu au nchi.