Simba inasafiri bila Manula, Bocco kule Botswana

Wale galaxy wale wa msimu huu..

Wametinga makundi kwa kibabe kwa kumtoa Orlando pirates kwake.

Mechi ya kwanza ya makundi wamepata point 3 wamemfunga finalist Waydad casablanca kwake Morocco.

Naona kabisa Simba mwenye migogoro anaelekea Botswana na yeye kumpelekea Jwaneng Galaxy point 3.

Kama Orlando na Waydad wamekufa.. sioni Simba anaponaje
uchambuzi hovyo sanaa huu
 
Bocco ha deserve kuwa Simba kabisa. Kama ndiyo wanamtema ni nice move kwangu sioni kama ni kupoteana.
 
Senzo anacheza namba ngapi uwanjani?
Hachezi ila uongozi Bora huzaa team Bora ndio maana Mangungu analaumiwa Kila kukicha huku Hersi akisifiwa na kuendelea kupewa nafasi zaidi za kiuongozi barani afrika
 
Bocco ha deserve kuwa Simba kabisa. Kama ndiyo wanamtema ni nice move kwangu sioni kama ni kupoteana.
Aisee[emoji848][emoji848]kwa hiyo hivi ndio namna Simba mtakuwa mnawakumbuka wale waliopigania badge ya team !?
 
Wale galaxy wale wa msimu huu..

Wametinga makundi kwa kibabe kwa kumtoa Orlando pirates kwake.

Mechi ya kwanza ya makundi wamepata point 3 wamemfunga finalist Waydad casablanca kwake Morocco.

Naona kabisa Simba mwenye migogoro anaelekea Botswana na yeye kumpelekea Jwaneng Galaxy point 3.

Kama Orlando na Waydad wamekufa.. sioni Simba anaponaje
Haponi
 
Hao hawajui hata wachezaji wao wako wapi maana toka wamerudi kutoka kwenye kichapo hawajapostiwa halafu wanatuambia wanaendeshwa kisasa
Wa kwako waliopostiwa wameshinda ngapi Kama kupostiwa ndio ushindi? Akili zenu anazijua mangungu peke yake!
 
Mpira hauko hivyo, siyo kama hesabu za mlinganyo ndg zangu. tujenge utamaduni wa kuhesshimu mchezo ndani ya dk 90. Huu utani sasa unapoteza maana.

simba ameshawai kucheza na Jwaneng Galaxy... nina imani unakumbuka kilichomkuta mnyama kwa mkapa
 
Aisee[emoji848][emoji848]kwa hiyo hivi ndio namna Simba mtakuwa mnawakumbuka wale waliopigania badge ya team !?
Sio Simba tu, huruma kama hizi hazifai kwa mtaka maendeleo endelevu, ndiyo kitu kinatufelisha Simba na watanzania kwa sasa. Kuna watu wanakula bila jasho lolote na hiyo ni mbaya. Pesa nyingi inaishia kwa CHAWA kuliko kufanya maboresho ya klabu au nchi.
 
Wa kwako waliopostiwa wameshinda ngapi Kama kupostiwa ndio ushindi? Akili zenu anazijua mangungu peke yake!
Jamaa kasema "hawajapostiwa"dah yani kupostiwa imekuwa kitu relevant kiasi Cha kutumika kwenye mjadala
 
Sio Simba tu, huruma kama hizi hazifai kwa mtaka maendeleo endelevu, ndiyo kitu kinatufelisha Simba na watanzania kwa sasa. Kuna watu wanakula bila jasho lolote na hiyo ni mbaya. Pesa nyingi inaishia kwa CHAWA kuliko kufanya maboresho ya klabu au nchi.
Huruma isiwe kwa wote ila huyu ni legend si tulimpa Canavaro heshima hadi alipostaafu pale pale nyumbani ndivyo shujaa anavyoheshimiwa kumbuka Boco ni all time top scorer wa ligi yetu infact hata kiatu Cha mfungaji Bora kinapaswa kupewa jina lake Sasa mnamuachaje tena kwa maneno ya dharau kama haya
 
Back
Top Bottom