Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
SIMBA INAWEZA KUANZIA PRELIMINARY SIYO LAZIMA TIMU 10 ZIANZIE FIRST ROUND
Caf Champions League inatakiwa kuhusisha timu zisizozidi 68
Caf ina wanachama 56 (Japo Afrika ina nchi 54) katika hao nchi 12 zinatoa timu 2 CafCL na kufanya jumla ya timu 24 na nchi 44 zinatoa timu moja ndipo unapata jumla timu 68
Hata hivyo kutokana na sababu mbalimbali baadhi ya nchi wanachama hujitoa kushiriki kwa hiyo idadi ya 68 haijawahi kufikiwa
Wachambuzi wengi nchini wamepotosha kwamba timu 10 zitaanzia first round hili jambo si la kweli ila wamekariri hivyo kwa sababu tu kwa miaka miwili mfululizo zimekuwa timu 10
Sasa ni nini kinaamua idadi ya timu zinazoanzia First Round na idadi ya zinazoanzia preliminary?
Soma maelezo yafuatayo hapo chini kwa makini
Suala hili linategemea ni timu ngapi zinashiriki mashindano ya mwaka husika
Timu zinagawanywa kihisabati ili zikifika First round zibaki 32 na hatimaye group stage timu 16
Nimekuletea Caf Champions league za miaka kadhaa ujionee mwenyewe

| Mwaka | Idadi ya u | Raundi ya awali | Raundi ya kwanza | kanuni | makundi | Zilizoanzia raundi ya kwanza |
| 21/22 | 54 | 44 | 10 | ( 44/2=22) 22+10=32 | 16 | Al Ahly, Espérance,Wydad AC, Raja Casablanca, Zamalek ,Mamelodi , Mazembe ,Horoya,Étoile du Sahel,Simba |
| 2020/21 | 54 | 44 | 10 | (44/2 =22) 22+10=32 | 16 | Al Ahly ,Wydad AC ,Espérance, Mazembe ,Zamalek ,Mamelodi ,Raja Casablanca,Horoya,AS Vita,1º de Agosto |
| 2019/20 | 61 | 58 | 3 | (58/2 =29) 29+3=32 | `16 | Espérance, Wydad AC,Mazembe |
| 2018/19 | 56 | 52 | 4 | (52/2 =26) 26+4=30 | 15 | Mazembe, Al-Ahly,Wydad AC, ,AS Vita Mwaka huo +Bingwa mtetezi Esperance alianzia group stage moja kwa moja 15+1=16 |
| 2018 | 59 | 54 | 5 | ( 54/2=27) 27+5 =32 | 16 | Mazembe, Al Ahly, Étoile du Sahel, Wydad AC , Mamelodi |
| 2017 | 55 | 46 | 9 | (46/2 =23) 23+9 =32 | 16 | Mazembe ,Al Ahly, Zamalek, Étoile du Sahel, Mamelodi, Espérance de Tunis, Al-Hilal, USM Alger, Wydad AC |
| 2016 | 55 | 46 | 9 | ( 46/2=23) 23+9 =32 | 16 | Al-Ahly, Mazembe, ES Sétif, Al-Hilal, Étoile du Sahel, Léopards, Zamalek, Al-Merrikh, Coton Sport |
| 2015 | 57 | 50 | 7 | ( 50/2 =25) 25+7 =32 | 16 | Al-Ahly, Espérance, Mazembe, CS Sfaxien, ES Sétif, Coton Sport, Léopards |
| 2014 | 58 | 52 | 6 | ( 52/2=26) 26+6 =32 | 16 | Al-Ahly, Espérance, Mazembe, CS Sfaxien , Al-Hilal, Coton Sport |
| 2013 | 56 | 48 | 8 | (48/2 =24) 24+8 =32 | 16 |