Simba inaweza kuanzia preliminary siyo lazima kila mwaka timu 10 zianzie first round

Simba inaweza kuanzia preliminary siyo lazima kila mwaka timu 10 zianzie first round

Yanga waanzishe kozi wawapeleke mashabiki wao shule kwanza.
 
Yanga waanzishe kozi wawapeleke mashabiki wao shule kwanza.
Jamaa alikuwa na hoja nzuri ila kashindwa kuiwasilisha. Binafsi sikujua lolote kuhusu hili na hata mleta mada sikumuelewa anachoongelea. Ila alipokuja mwana Msimbazi Lupweko ndipo nilipoanza kupata mwanga
 
Na hivi ndivyo ilivyo siku zote,Simba wanapaswa kuendelea kuomba idadi ya timu zitakazo dhibitisha kushiriki champions league ziendelee kuwa 54 au 55 kama ilivyokuwa misimu 2 nyuma

Ila timu zitakazo shiriki zikiwa kuanzia 56 na kuendelea,basi nafasi ya Simba kuanzia round ya kwanza itakuwa finyu sana
Ndio kwanza kuna ligi zinafungiwa kwahiyo timu zinabaki costant au kupungua sidhani kama kuna kuongezeka
Simba first round for this year is inevitable
 
Ndio kwanza kuna ligi zinafungiwa kwahiyo timu zinabaki costant au kupungua sidhani kama kuna kuongezeka
Simba first round for this year is inevitable
Timu zikipungua pia zinapunguza idadi ya timu zitakazoanzia hatua ya kwanza.
 
Ndio kwanza kuna ligi zinafungiwa kwahiyo timu zinabaki costant au kupungua sidhani kama kuna kuongezeka
Simba first round for this year is inevitable
Ligi zipi zimefunguwa taja kabisa
 
Zikithibitisha nchi zote 52 timu zitakuwa 64 yaani timu 40 kwa nchi 40 zinazoingiza timu 1 na timu 24 kwa nchi 12 zinazoigiza timu 2.

Hapo wote wataanzia preliminary stage, ikitokea baadhi ya nchi zimejitoa ndipo inafanyika hesabu kuwa ni timu ngapi zitabidi kusubiri raundi inayofuata

kwa mfano msimu wa mwaka juzi timu tatu pekee ndizo zilianzia raundi ya pili na kigezo kinachotumika kuchagua ni nani aanzie raundi ya pili ni wingi wa point wa club hisika

Kwahiyo, kama wzitajitoa nchi nyingi ndipo timu za kuanzia raundi ya pili zinaongezeka idipojitoa nchi hata moja basi wote wanaanzia huko huko
 
Haya Makolo maziuze zile points zenu 49,999 pesa matayopata mkatengeneze jezi nzuri si hizi miti krismasi mliyotuletea.
 
Haya Makolo maziuze zile points zenu 49,999 pesa matayopata mkatengeneze jezi nzuri si hizi miti krismasi mliyotuletea.
Sawa ngoja nimpigie yule designer wenu wa jezi aongeze na haya maoni kwenye zile jezi zenu nyeusi
 
Back
Top Bottom