Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazee wa university mpooMaumivu haya kutoka chekechea fc aka wazee wa vidudu
Mwaka huu timu ziko 58 na ni timu sita tu zitakazoanzia mkondo wa kwanzaZikithibitisha nchi zote 52 timu zitakuwa 64 yaani timu 40 kwa nchi 40 zinazoingiza timu 1 na timu 24 kwa nchi 12 zinazoigiza timu 2.
Hapo wote wataanzia preliminary stage, ikitokea baadhi ya nchi zimejitoa ndipo inafanyika hesabu kuwa ni timu ngapi zitabidi kusubiri raundi inayofuata
kwa mfano msimu wa mwaka juzi timu tatu pekee ndizo zilianzia raundi ya pili na kigezo kinachotumika kuchagua ni nani aanzie raundi ya pili ni wingi wa point wa club hisika
Kwahiyo, kama wzitajitoa nchi nyingi ndipo timu za kuanzia raundi ya pili zinaongezeka idipojitoa nchi hata moja basi wote wanaanzia huko huko
Mkuu, omba radhi!Inakuuma sana kwa Simba kutokuanzia Preliminary round
Naomba radhi kwa niabaMkuu, omba radhi!
Kidampa vipi [emoji23][emoji23]Yanga waanzishe kozi wawapeleke mashabiki wao shule kwanza.
ManzokiiiiInakuuma sana kwa Simba kutokuanzia Preliminary round
Ulijifanya unajua kumbe unaungua jua. Makolo mulibwanji baabaNdio kwanza kuna ligi zinafungiwa kwahiyo timu zinabaki costant au kupungua sidhani kama kuna kuongezeka
Simba first round for this year is inevitable