Simba inaweza kuanzia preliminary siyo lazima kila mwaka timu 10 zianzie first round

Mwaka huu hata Huko shirikishi hawaendi dadeq.. watatolewa kwa Mkapa palepale kama mwaka Jana..Makolo ni Makolo tu
 
Kuna kitu kizuri ila hakina mpangilio statistics zako zina poor arrangement.
 
Mwaka huu timu ziko 58 na ni timu sita tu zitakazoanzia mkondo wa kwanza
 
Mkuu, omba radhi!
Naomba radhi kwa niaba
Tatizo ni watu wanaojiita wachambuzi. Ina maana kitu kama hiki walikuwa hawajui?
Hata Manara alitudanganya kuwa Yanga itaanzia first round kwa sababu ni bingwa halafu Simba itaanzia first round kama itachukua kombe la Azam
 
Ndio kwanza kuna ligi zinafungiwa kwahiyo timu zinabaki costant au kupungua sidhani kama kuna kuongezeka
Simba first round for this year is inevitable
Ulijifanya unajua kumbe unaungua jua. Makolo mulibwanji baaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…