Simba iombeni radhi Ngome FC

Aisee awali sikuweza kudhani kama hiiAfrican Football League (Super League) itawaumiza Yanga kiasi hiki. Yaani wakipata mwanya wa kutapika kilichopo moyoni, wanatapika haswaa? Sasa jamani, mechi ya kirafiki tu ndio hadi muizungumzie AFL ?😁😁😁
Ishu ni hadhi ya mashindano au hela? Au vyote? 😁😁😁
 
Kitengo cha habari mitandaoni kinadhalilisha timu ionekane kuna forgery. Hata mwaka Jana kama sijasahau wakiwa pre season waliweka nembo ya timu tofauti na waliyocheza nayo.
Mbona ni ishu ndogo tu? Waliofungwa Ngome, waliomind Ngome 😁
 
Swali fikirishi je mlicheza na simba sc na taarifa zenu zikoje
 
Unacheza na timu ingine unaweka logo ya timu nyingine.
Simba waombe radhi tu, kukosea kupo, nakumbuka mashindano ya caf yalioisha yanga walitumia logo ya cl badala ya cc lakini wapoambiwa wamekosea wakarekebisha chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…