Simba iombeni radhi Ngome FC

Simba iombeni radhi Ngome FC

𝙏𝙊𝙆𝙀𝙉𝙄 𝙃𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼𝙉𝙄 𝙈𝘼𝙆𝙊𝙇𝙊
NB: how data forging (cooking) in football can be a panacea to help kolo in super league
Aisee awali sikuweza kudhani kama hiiAfrican Football League (Super League) itawaumiza Yanga kiasi hiki. Yaani wakipata mwanya wa kutapika kilichopo moyoni, wanatapika haswaa? Sasa jamani, mechi ya kirafiki tu ndio hadi muizungumzie AFL ?😁😁😁
Ishu ni hadhi ya mashindano au hela? Au vyote? 😁😁😁
 
Kitengo cha habari mitandaoni kinadhalilisha timu ionekane kuna forgery. Hata mwaka Jana kama sijasahau wakiwa pre season waliweka nembo ya timu tofauti na waliyocheza nayo.
Mbona ni ishu ndogo tu? Waliofungwa Ngome, waliomind Ngome 😁
 
𝙏𝙊𝙆𝙀𝙉𝙄 𝙃𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼𝙉𝙄 𝙈𝘼𝙆𝙊𝙇𝙊

Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu.
Ombeni msamaha [emoji1666].
Cc: castor Yanga

NB: how data forging (cooking) in football can be a panacea to help kolo in super league//

Kwa mliokimbia umande

Je kujifungia vyumbani na kupika data za kuifunga timu kibonde badala ya kupiga zoezi,....inawezaje saidia makolo ku pass super league [emoji23][emoji23]?

View attachment 2744072
Swali fikirishi je mlicheza na simba sc na taarifa zenu zikoje
 
Unacheza na timu ingine unaweka logo ya timu nyingine.
Simba waombe radhi tu, kukosea kupo, nakumbuka mashindano ya caf yalioisha yanga walitumia logo ya cl badala ya cc lakini wapoambiwa wamekosea wakarekebisha chap
 
Back
Top Bottom