Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee awali sikuweza kudhani kama hiiAfrican Football League (Super League) itawaumiza Yanga kiasi hiki. Yaani wakipata mwanya wa kutapika kilichopo moyoni, wanatapika haswaa? Sasa jamani, mechi ya kirafiki tu ndio hadi muizungumzie AFL ?😁😁😁𝙏𝙊𝙆𝙀𝙉𝙄 𝙃𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼𝙉𝙄 𝙈𝘼𝙆𝙊𝙇𝙊
NB: how data forging (cooking) in football can be a panacea to help kolo in super league
Mbona ni ishu ndogo tu? Waliofungwa Ngome, waliomind Ngome 😁Kitengo cha habari mitandaoni kinadhalilisha timu ionekane kuna forgery. Hata mwaka Jana kama sijasahau wakiwa pre season waliweka nembo ya timu tofauti na waliyocheza nayo.
Timu inajiendesha kihuni [emoji23][emoji23] (unprofessional)Simba sasa mnakoenda ni kubaya kulazimisha kuzifunga timu goli nyingi hata hamjacheza nao.View attachment 2744243View attachment 2744244
Swali fikirishi je mlicheza na simba sc na taarifa zenu zikoje𝙏𝙊𝙆𝙀𝙉𝙄 𝙃𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼𝙉𝙄 𝙈𝘼𝙆𝙊𝙇𝙊
Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu.
Ombeni msamaha [emoji1666].
Cc: castor Yanga
NB: how data forging (cooking) in football can be a panacea to help kolo in super league//
Kwa mliokimbia umande
Je kujifungia vyumbani na kupika data za kuifunga timu kibonde badala ya kupiga zoezi,....inawezaje saidia makolo ku pass super league [emoji23][emoji23]?
View attachment 2744072
Simba waombe radhi tu, kukosea kupo, nakumbuka mashindano ya caf yalioisha yanga walitumia logo ya cl badala ya cc lakini wapoambiwa wamekosea wakarekebisha chapUnacheza na timu ingine unaweka logo ya timu nyingine.