Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Viongozi wa Simba wakae wakijua kuwa msimu huu tumepoteza ubingwa kwa sababu yao, kwanza ni kumdharau injinia Hersi na kumuona ni mdogo sana katika soka, pili ni kujiona nyie ndio mnajua na fitina za soka kuliko wazee na wanachama wengine, tatu hakumtaka kabisa kushikirisha wenye Simba yao, mkawaweka pembeni, nne, mamluki wengi ndani ya uongozi, tano, ubinafsi umezidi, sita baadhi yao wanataka kumkwamisha Mo dewji baada ya maslahi yao kukwama.
Injinia Hersi amewashinda mapema tu na anakwenda kuwasambaratisha kabisa msimu ujao, tunajifanya wakimya tunaendesha mambo yetu kwa siri kumbe hamna lolote, mambo yote tunayoyafanya Yanga wanayajua, Simba kufungwa na mbeya city, kufungwa na Kagera, sare za kijinga kijinga na azam, namungo, polisi zote zilikuwa sehemu ya mikakati ya watu wa yanga kwa kushirikiana na watu ndani ya Simba, timu yetu ilikuwa bora sana, pia tuwe makini sana na yanayoendelea ndani ya bodi ya ligi, Leo Simba anacheza mchezo mgumu sana na Prisons, hiv ingekuwaje kama bado wanagombea ubingwa, maana yake upangaji wa ratiba pia una mipango, sasa mnakwenda kuchafua hali ya hewa msimu ujao kwa sababu mikakati ya yanga ya mwaka huu itaendelea vile vile msim ujao, nyie mnatufanganya tu na maneno ya kitoto sijui kumwagilia moyo sijui nini.
Mark my words.