Simba isipomwekea mikakati Eng.Hersi, mtasababisha mgogoro mkubwa klabuni

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Viongozi wa Simba wakae wakijua kuwa msimu huu tumepoteza ubingwa kwa sababu yao, kwanza ni kumdharau injinia Hersi na kumuona ni mdogo sana katika soka, pili ni kujiona nyie ndio mnajua na fitina za soka kuliko wazee na wanachama wengine, tatu hakumtaka kabisa kushikirisha wenye Simba yao, mkawaweka pembeni, nne, mamluki wengi ndani ya uongozi, tano, ubinafsi umezidi, sita baadhi yao wanataka kumkwamisha Mo dewji baada ya maslahi yao kukwama.

Injinia Hersi amewashinda mapema tu na anakwenda kuwasambaratisha kabisa msimu ujao, tunajifanya wakimya tunaendesha mambo yetu kwa siri kumbe hamna lolote, mambo yote tunayoyafanya Yanga wanayajua, Simba kufungwa na mbeya city, kufungwa na Kagera, sare za kijinga kijinga na azam, namungo, polisi zote zilikuwa sehemu ya mikakati ya watu wa yanga kwa kushirikiana na watu ndani ya Simba, timu yetu ilikuwa bora sana, pia tuwe makini sana na yanayoendelea ndani ya bodi ya ligi, Leo Simba anacheza mchezo mgumu sana na Prisons, hiv ingekuwaje kama bado wanagombea ubingwa, maana yake upangaji wa ratiba pia una mipango, sasa mnakwenda kuchafua hali ya hewa msimu ujao kwa sababu mikakati ya yanga ya mwaka huu itaendelea vile vile msim ujao, nyie mnatufanganya tu na maneno ya kitoto sijui kumwagilia moyo sijui nini.

Mark my words.
 
Naamini hata Morrison alitumika kwa project ya eng Hersi.
Nadhani kuna kitu hakipo sawa kwa viongozi waliopo.
 
Ukiona umechoka kushabikia Simba kajiunge kwenye parade la leo,
Iko wazi tu kuwa players wetu wengi wamechoka kwa kazi waliuofanya karibu 5 seasons na usajili haukutulipa vizuri thats why Yanga katumia loop holes vzr kakomaa mwanzo mwisho .
Naamini msimu ujao kombe linarudi kwao 🦁
 
Wewe hata timu ya kijiji hujawahi kuongoza, Leo unajifanya kujua mikakati ya kuendesha timu kubwa kama Simba?
Kwa kuonesha hujui kitu unaaminisha watu Simba ni timu isiyoweza kufungwa na inapofungwa kunakuwa na hujuma eti kama ilivyotokea Kwa Mbeya City na Kagera Sugar.
Unapotosha Simba ilikuwa na timu nzuri ipi? Simba ilikuwa na Wachezaji wazuri waliomaliza Muda wao kama Kagere, Nyoni, Muzamiru, Wawa, Mugalu na Kapombe. Kudhani Wachezaji wanaweza kuwa kwenye kiwango cha juu Kwa miaka 4 mfilulizo ni Utoto.
Viongozi waliokabidhiwa timu ndio Wenye jukumu la kujua nini kifanyike kulingana na bajeti iliyopo. Sasa wewe ambaye hata buku ya NANI ZAIDI imekushinda usijifanye mjuaji.
 
Simba wanachukulia mazoea sana laiini pia wazee wamewake pembeni sana. Matola wamuondoe pale ana magod father hapo. Pia barbara pia ashirikiane na akina kaduguda kupush Simba. Soka la Bongo sio team tu pia nje ya uwania inabd kucheza vzr
 
Wewe hata timu ya kijiji hujawahi kuongoza, Leo unajifanya kujua mikakati ya kuendesha timu kubwa kama Simba?
Kwa kuonesha hujui kitu unaaminisha watu Simba ni timu isiyoweza kufungwa na inapofungwa kunakuwa na hujuma eti kama ilivyotokea Kwa Mbeya City na Kagera Sugar.
Unapotosha Simba ilikuwa na timu nzuri ipi? Simba ilikuwa na Wachezaji wazuri waliomaliza Muda wao kama Kagere, Nyoni, Muzamiru, Wawa, Mugalu na Kapombe. Kudhani Wachezaji wanaweza kuwa kwenye kiwango cha juu Kwa miaka 4 mfilulizo ni Utoto.
Viongozi waliokabidhiwa timu ndio Wenye jukumu la kujua nini kifanyike kulingana na bajeti iliyopo. Sasa wewe ambaye hata buku ya NANI ZAIDI imekushinda usijifanye mjuaji.
Yanga ana uzuri gani had anamaliza ligi asifungwe, Simba anawezaje kufungwa na kagera wakat katoka ktk international game, yanga asifungwe halaf Simba afungwe, nyie ndio mabwege mnaoiua Simba
 
Viongozi wa Simba wakae wakijua kuwa msimu huu tumepoteza ubingwa kwa sababu yao, kwanza ni kumdharau injinia Hersi na kumuona ni mdogo sana katika soka, pili ni kujiona nyie ndio mnajua na fitina za soka kuliko wazee na wanachama wengine, tatu hakumtaka kabisa kushikirisha wenye Simba yao, mkawaweka pembeni, nne, mamluki wengi ndani ya uongozi, tano, ubinafsi umezidi, sita baadhi yao wanataka kumkwamisha Mo dewji baada ya maslahi yao kukwama.

Injinia Hersi amewashinda mapema tu na anakwenda kuwasambaratisha kabisa msimu ujao, tunajifanya wakimya tunaendesha mambo yetu kwa siri kumbe hamna lolote, mambo yote tunayoyafanya Yanga wanayajua, Simba kufungwa na mbeya city, kufungwa na Kagera, sare za kijinga kijinga na azam, namungo, polisi zote zilikuwa sehemu ya mikakati ya watu wa yanga kwa kushirikiana na watu ndani ya Simba, timu yetu ilikuwa bora sana, pia tuwe makini sana na yanayoendelea ndani ya bodi ya ligi, Leo Simba anacheza mchezo mgumu sana na Prisons, hiv ingekuwaje kama bado wanagombea ubingwa, maana yake upangaji wa ratiba pia una mipango, sasa mnakwenda kuchafua hali ya hewa msimu ujao kwa sababu mikakati ya yanga ya mwaka huu itaendelea vile vile msim ujao, nyie mnatufanganya tu na maneno ya kitoto sijui kumwagilia moyo sijui nini.

Mark my words.
Nyie kaeni ivyo ivyo muendelee kukariri mambo yanga itaendelea kuwanyoosha maana amtaki kukubali mnapozidiwa mahala mmekuwa na shingo ngumu kujifunza mnapokosea kwa kudhani mtakuwa mnawapa yanga sifa lakini Siku zote mtu anaejifunza na kukiri madhaifu yake uwa anayafanyia kazi na kusimama tena, Ninachokiona kwa viongozi wa simba wamekuwa na propaganda nyingi wakilenga kuwanyamazisha wanachsma wao na mashabiki lakini ukichungulia kwa ndani utagundua wameparanganyika ndo maana ata zoezi la usajili wanatumia kivuli cha eti wanafanya usajili wa kimya kimya kumbe awana misuli ya kugombania wachezaji wazuri kwa sasa kutokana na bajeti yao ndogo ya usajili waliyonayo, ata yanga kipindi wako vibaya kiuchumi walikuwaga wanaongea maneno Kama ayo kuwa wanasajili Kim ya kimya mwisho wa siku ilikuwa ni aibu kwa aina ya wachezaji waliokuwa wanawasajili wa bei chee mpaka kipa wa beach soccer wakamsajili kutokana na kukosa misuli ya kiuchumi kugombania wachezaji bora, kwa maana iyo Simba wakiendelea na mtazamo wao wa kuiponda yanga na kuona ubingwa wameupata kwa bahati mbaya na wao ni bora basi wataendelea kuumia kwa miaka mingine 7 kwakuwa wao wanaendelea na propaganda wenzao wanaendelea kuiimarisha timu kwa mipango endelevu
 
Nakazia
 
Sasa hii ndo Simba ninayoijua mimi, Simb ya kushikana uchawi.
 
Ukiona umechoka kushabikia Simba kajiunge kwenye parade la leo,
Iko wazi tu kuwa players wetu wengi wamechoka kwa kazi waliuofanya karibu 5 seasons na usajili haukutulipa vizuri thats why Yanga katumia loop holes vzr kakomaa mwanzo mwisho .
Naamini msimu ujao kombe linarudi kwao 🦁
Kombe limerudi kwao sio litarudi
 
Kama kawaida ya nyani Fc kupuyanga na jezi mwaka
20220627_022914.jpg
 
Viongozi wa Simba wakae wakijua kuwa msimu huu tumepoteza ubingwa kwa sababu yao, kwanza ni kumdharau injinia Hersi na kumuona ni mdogo sana katika soka, pili ni kujiona nyie ndio mnajua na fitina za soka kuliko wazee na wanachama wengine, tatu hakumtaka kabisa kushikirisha wenye Simba yao, mkawaweka pembeni, nne, mamluki wengi ndani ya uongozi, tano, ubinafsi umezidi, sita baadhi yao wanataka kumkwamisha Mo dewji baada ya maslahi yao kukwama.

Injinia Hersi amewashinda mapema tu na anakwenda kuwasambaratisha kabisa msimu ujao, tunajifanya wakimya tunaendesha mambo yetu kwa siri kumbe hamna lolote, mambo yote tunayoyafanya Yanga wanayajua, Simba kufungwa na mbeya city, kufungwa na Kagera, sare za kijinga kijinga na azam, namungo, polisi zote zilikuwa sehemu ya mikakati ya watu wa yanga kwa kushirikiana na watu ndani ya Simba, timu yetu ilikuwa bora sana, pia tuwe makini sana na yanayoendelea ndani ya bodi ya ligi, Leo Simba anacheza mchezo mgumu sana na Prisons, hiv ingekuwaje kama bado wanagombea ubingwa, maana yake upangaji wa ratiba pia una mipango, sasa mnakwenda kuchafua hali ya hewa msimu ujao kwa sababu mikakati ya yanga ya mwaka huu itaendelea vile vile msim ujao, nyie mnatufanganya tu na maneno ya kitoto sijui kumwagilia moyo sijui nini.

Mark my words.
Huwezi kuwa bingwa kila siku , acha lawama wewe
 
Kila kitu na wakati wake

Barca
Man U
Juventus

Hao wote walitawala mno ila leo wako wapi?
Kushinda miaka 4 si kazi rahisi
 
Back
Top Bottom