"Al Ahly wana uhakika asilimia mia nane wa kuchukua point sita kwa Simba" By Shafih Dauda
Mkuu bado upoSimba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!