Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Mkifuta zile 5 ndio tutajuta. Naona hapa Morison ndio mnaenda kuongea nae na ku review mkataba. But mpaka sasa hamuelewi kwanini refa aliwabeba jana. Kati ya jambo ambalo yule refa mtamlaumu basi ni kuwabeba nyinyi.Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivipunde.
Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na kushinda leo. Tutawatandika tena bila huruma. Mtafute sare!
Kila mara huwa nawaambia watani zangu Simba kuwa Yanga aweza kuwa kibonde kwa wote lakini si kwa Simba. Hadi hapo, Yanga tumeshajihakikishia mashindano ya kimataifa.
Subirini muone mbungi!
Unajua Mzee Bakhresa alikuwa mshika pesa mikiani?mtoto wake Yusufu ni mikia lialia?jiulize kwa nini matajiri kama Azam wanawapa mikia wachezaji muhimu wanne?Azam ni mikia B ..ndio maana Domayo ana vichembe vya mwananchi kamvunja goti Kapombe msaliti....Kuna Shabiki wa Yanga damu alikuwa anaangalia mpira kwa kweeli kwa mpira wa leo simba vs azam daah, Jamaa kakiri Simba ni level nyingine+Jamaa wa najua mpira.
This is SIMBA
Tulia ulambe dawa
Daaaaaah kweli wewe utopoloUnajua Mzee Bakhresa alikuwa mshika pesa mikiani?mtoto wake Yusufu ni mikia lialia?jiulize kwa nini matajiri kama Azam wanawapa mikia wachezaji muhimu wanne?Azam ni mikia B ..ndio maana Domayo ana vichembe vya mwananchi kamvunja goti Kapombe msaliti....
tako moja unasemaje..timu imejaa machoko mnakulana aibuDaaaaaah kweli wewe utopolo
Watacheza kama domayoKama Morrison na Tshishimbi watacheza basi Yanga anaweza kushinda mechi dhidi ya Simba. No Morrison and Tshishimbi, Yanga wahesabu maumivu.
Vv
hata utopolo mwenzao kitenge kakiriKuna Shabiki wa Yanga damu alikuwa anaangalia mpira kwa kweeli kwa mpira wa leo simba vs azam daah, Jamaa kakiri Simba ni level nyingine+Jamaa wa najua mpira.
This is SIMBA
Tulia ulambe dawa
Wapigwa bomba!tako moja unasemaje..timu imejaa machoko mnakulana aibu
tako moja unasemaje..timu imejaa machoko mnakulana aibu