Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivi punde.
Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na kushinda leo. Tutawatandika tena bila huruma. Mtafute sare!
Kila mara huwa nawaambia watani zangu Simba kuwa Yanga aweza kuwa kibonde kwa wote lakini si kwa Simba. Hadi hapo, Yanga tumeshajihakikishia mashindano ya kimataifa.
Subirini muone mbungi!