Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
(Kila kinachosikika ni lazima kiletwe humu);

Kutoka chanzo muhimu, inasemekana kuwa licha ya barua Yao ya kutoshiriki derby ya Leo, kikosi Cha Simba kitapelekwa uwanjani kama kawaida tayari kwa mechi.

Kwa mujibu wa chanzo hiki, Kilichofanyika usiku wa Leo ni milolongo ya hatua za kuwatoa wapinzani wao Mchezoni na kuhujumu mapato kwani inafikiriwa watazamaji wengi hawatojitokeza.

Pia itawafanya Yanga ku-relax kimaandalizi na hivyo kutoa advantage kwa Wekundu Hawa wa Msimbazi ambao wanahofia utayari wao kwa mchezo huu

Soma, Pia
 
Stay tuned
Yaani uwandike barua ya kuhairisha mechi, Kisha uwende uwanjani pasipo kuutarifu Umma? Nadhani Simba wasimamie kile wanachoamini

Mbona hawajiamini
 
Miaka yote ya mechi za watani,mwenyeji anakabidhiwa uwanja,mgeni anaingia uwanjani siku ya mechi akitokea mahali alipoweka kambi.Ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa za wao kuja uwanjani. Hata Yanga hii nafasi ya kutumia huu uwanja kabla ya mechi round ya kwanza hakupewa, je hizo kanuni hazikuwepo, maana aliingia uwanjani akitokea Avic Town na mechi alicheza.
 
(Kila kinachosikika ni lazima kiletwe humu);

Kutoka chanzo muhimu, inasemekana kuwa licha ya barua Yao ya kutoshiriki derby ya Leo, kikosi Cha Simba kitapelekwa uwanjani kama kawaida tayari kwa mechi.

Kwa mujibu wa chanzo hiki, Kilichofanyika usiku wa Leo ni milolongo ya hatua za kuwatoa wapinzani wao Mchezoni na kuhujumu mapato kwani inafikiriwa watazamaji wengi hawatojitokeza.

Pia itawafanya Yanga ku-relax kimaandalizi na hivyo kutoa advantage kwa Wekundu Hawa wa Msimbazi ambao wanahofia utayari wao kwa mchezo huu

Stay tuned
We endelea kupiga ramli tu.

Tunajua hamkunusa ' Reaction ' ya Simba katika hilo. Na hicho ndio kinachowasumbua.

Yote yanawezekana. Ila usiwe na haraka.
 
Pia itawafanya Yanga ku-relax kimaandalizi na hivyo kutoa advantage kwa Wekundu Hawa wa Msimbazi ambao wanahofia utayari wao kwa mchezo huu
Kama ni utayari wa mechi, nadhani Simba ilijipanga ikawa tayari zaidi kuliko Yanga. Hii ya Yanga kuzuia wapinzani wasifanye mazoezi ni ishara ya kutojiamini kutokuwa tayari kwa mechi
 
Yanga hawajamzuia mtu kufanya mazoezi. Kwani mageti yalikuwa wazi, kwamba Yanga walisimama magetini?
 
Back
Top Bottom