Aiylan wasalan
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 730
- 1,478
Kufungwa kuko pale pale ….badilisheni sku na mwezi …Sio kazi ya Simba kuchunguza nani kamzidi mwenzie nguvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufungwa kuko pale pale ….badilisheni sku na mwezi …Sio kazi ya Simba kuchunguza nani kamzidi mwenzie nguvu
Kama suala ni kuwafanya yanga wa relax ki maandalizi basi Hao viongozi wa Makolo akili zao zimelala sana na hawastahili kuwa hapo walipo mara moja(Kila kinachosikika ni lazima kiletwe humu);
Kutoka chanzo muhimu, inasemekana kuwa licha ya barua Yao ya kutoshiriki derby ya Leo, kikosi Cha Simba kitapelekwa uwanjani kama kawaida tayari kwa mechi.
Kwa mujibu wa chanzo hiki, Kilichofanyika usiku wa Leo ni milolongo ya hatua za kuwatoa wapinzani wao Mchezoni na kuhujumu mapato kwani inafikiriwa watazamaji wengi hawatojitokeza.
Pia itawafanya Yanga ku-relax kimaandalizi na hivyo kutoa advantage kwa Wekundu Hawa wa Msimbazi ambao wanahofia utayari wao kwa mchezo huu
Stay tuned
Hiyo ndio ilivyo..usimuamini mtoa uziYaani uwandike barua ya kuhairisha mechi, Kisha uwende uwanjani pasipo kuutarifu Umma? Nadhani Simba wasimamie kile wanachoamini
Mbona hawajiamini
Hebu kaisome barua yenu maana mmejikaanga wenyewe. Mageti ya funguliwe vip instantly wakati kwenye barua nyie wenyewe mmkekubali meneja wa uwanja hakuwa na taarifa,sasa hayo mageti yalifunguliwa vipi.Yeah, yalifunguliwa instantly baada ya amri ya kamishna
Kama kanuni huzijui omba kujulishwa, wakati mwingine kukaa kimya ni njia sahihi ya kuficha upumbavu wako,,Miaka yote ya mechi za watani,mwenyeji anakabidhiwa uwanja,mgeni anaingia uwanjani siku ya mechi akitokea mahali alipoweka kambi.Ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa za wao kuja uwanjani. Hata Yanga hii nafasi ya kutumia huu uwanja kabla ya mechi round ya kwanza hakupewa, je hizo kanuni hazikuwepo, maana aliingia uwanjani akitokea Avic Town na mechi alicheza.
Miaka yote ya mechi za watani,mwenyeji anakabidhiwa uwanja,mgeni anaingia uwanjani siku ya mechi akitokea mahali alipoweka kambi.Ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa za wao kuja uwanjani. Hata Yanga hii nafasi ya kutumia huu uwanja kabla ya mechi round ya kwanza hakupewa, je hizo kanuni hazikuwepo, maana aliingia uwanjani akitokea Avic Town na mechi alicheza.
Ina maana kanuni zipo kuanzia jana,ila round ya kwanza kanuni hazikuwepo? Maana Yanga hakupewa hiyo nafasi na kucheza alicheza au kanuni zinachagua round 2 na kubagua round ya kwanza?Kama kanuni huzijui omba kujulishwa, wakati mwingine kukaa kimya ni njia sahihi ya kuficha upumbavu wako,,
Hivi unjua maana ya sheria? Round ya kwanza wakati Yanga hakupewa nafasi ya kutumia uwanja kabla ya mechi ina maana kulikuwa hamna sheria? Au hii sheria ilikuwa imetungwa jana asubuhi na kuwa enforced jioni?Jose huna unalojua kwenye Sheria za mpira
Wenzako wameshasema wana ushahidi mpaka wa video mabaunsa wa Yanga kuwazuia, maana yake wanajiamini na wanachosema, sasa wewe mwenzetu sijui una ushahidi gani wa hiki ulichokiandika. Gates kuwa wazi si kigezo cha mtu kuzuiwaYanga hawajamzuia mtu kufanya mazoezi. Kwani mageti yalikuwa wazi, kwamba Yanga walisimama magetini?
Hivi unjua maana ya sheria? Round ya kwanza wakati Yanga hakupewa nafasi ya kutumia uwanja kabla ya mechi ina maana kulikuwa hamna sheria? Au hii sheria ilikuwa imetungwa jana asubuhi na kuwa enforced jion
Huko kwenu wote si Mbumbumbu kwa mujibu wa kiongozi wenu Rage.Huku wenye akili si wawili
Unawaamini hao? Sasa kama mageti yalifungwa, walizuiwa kuingia wapi? AU tuseme meneja wa uwanja ndo amewazuia kwa kutofungua mageti?Wenzako wameshasema wana ushahidi mpaka wa video mabaunsa wa Yanga kuwazuia, maana yake wanajiamini na wanachosema, sasa wewe mwenzetu sijui una ushahidi gani wa hiki ulichokiandika. Gates kuwa wazi si kigezo cha mtu kuzuiwa
Sasa kuna kiongozi mmoja namuheshimu kama kaka yangu na msomi ila alichoandika ni taka taka kabisa eti sio kugomea mechi tu watagomea Hadi ligi... hahahahaTwende nao tu hivyo hivyo rafiki sababu mwisho wa siku siku zote wahusika wakuu tunakuwaga sisi sisi Timu vigogo na ndio sababu saa ingine hata hatua stahiki hazichukuliki sababu ya kuoneana muhali.
Hahahaha Bora muwe walau wenye akili kuliko wote kua mbumbumbuHuko kwenu wote si Mbumbumbu kwa mujibu wa kiongozi wenu Rage.
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.Sasa kuna kiongozi mmoja namuheshimu kama kaka yangu na msomi ila alichoandika ni taka taka kabisa eti sio kugomea mechi tu watagomea Hadi ligi... hahahaha
Nitake mie sio mtanzania , siwezi kuwa mjinga km nyie na CCM yenu inawaburuza kingese ,Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.
Kumbe wajinga wajinga mko wengi eeh,dah Tawala kweli kinatawala Hadi akili za watanzaniaWajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.
Achana nae huyo mnafiki yupo kila uzi wa kwenye jukwaa la mechezo sasa sijui anafuata nini. Hana tofauti anaye ichukia nyama ya nguruwe ila mchuzi anautamani.Kumbe wajinga wajinga mko wengi eeh,dah Tawala kweli kinatawala Hadi akili za watanzania