felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.Kumbe wajinga wajinga mko wengi eeh,dah Tawala kweli kinatawala Hadi akili za watanzania