Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

Kamishna ambaye ndio anatakiwa ampe taarifa meneja, alifika hadi eneo la tukio na akampa taarifa meneja. Meneja akatoa ruhusa, wahuni wakazuia. Tafuta habari, acha kubweteka
Polisi hawakuwepo wahuni wanaweza izidi polisi?!
 
Ina maana kanuni zipo kuanzia jana,ila round ya kwanza kanuni hazikuwepo? Maana Yanga hakupewa hiyo nafasi na kucheza alicheza au kanuni zinachagua round 2 na kubagua round ya kwanza?
Alienda uwanjani akazuiliwa?
 
Kuna hatua zozote alichukua baada ya kutopewa? Au zile za wabongo alimwachia mungu!!
Hatukuchukua hatua sababu tunaujua mpira hata kwenye CAF confederation na Championship timu kibao zinazuiwa kufanya mazoezi ila still bado kinapigwa au sometimes zinaamua kutokufanya mazoezi kabla ya mechi na still zinacheza.
 
Mazoea sio utaratibu ukilijua hilo kauli hii haina maana.
Sasa unamwambia nani?. maana haya mazoea waliyo yajenga ni wao wenyewe watani.Ndio maana hata huyo meneja wa uwanja alijua ndio utaratibu wenu kwenye mechi zenu,kama kulikuwa na mabadiliko mngemwambia meneja.
 
Hatukuchukua hatua sababu tunaujua mpira hata kwenye CAF confederation na Championship timu kibao zinazuiwa kufanya mazoezi ila still bado kinapigwa au sometimes zinaamua kutokufanya mazoezi kabla ya mechi na still zinacheza.
Wewe kutochukua hatua ulikuwa ni utashi wako, na wao kuchukua hatua ni utashi wao as long as kuna kanuni kuhusu hilo.
 
Wewe kutochukua hatua ulikuwa ni utashi wako, na wao kuchukua hatua ni utashi wao as long as kuna kanuni kuhusu hilo.
Hizo kanuni wamezijua jana? Kwani huo utaratibu waliuweka nani si wao na ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa, sababu anajua ndio taratibu zao miaka yote.

Hata hiyo CAF huko Uarabuni mara kibao timu ngeni zinazuiwa kufanya mazoezi ila mechi inapigwa kama kawa na zipo timu nyingine hazifanyi hata mazoezi siku moja kabla ya mechi ila still mechi inapigwa.
 
Yanga wanatamani iwe hivyo.

Ila naamini Simba hawatafanya hilo jambo.
 
Nadhani hiyo sio hoja ya msingi mkuu. Muhimu kanuni ipo na wao wameamua kuitumia. So let's wait wasimamizi wa kanuni wana kipi cha kusema.
Hiyo ni hoja tena ya msingi,Hizo kanuni wamezijua jana? Kwani huo utaratibu waliuweka nani si wao na ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa, sababu anajua ndio taratibu zao miaka yote.

Hata hiyo CAF huko Uarabuni mara kibao timu ngeni zinazuiwa kufanya mazoezi ila mechi inapigwa kama kawa na zipo timu nyingine hazifanyi hata mazoezi siku moja kabla ya mechi ila still mechi inapigwa.
 
Wachawi
Kama ni utayari wa mechi, nadhani Simba ilijipanga ikawa tayari zaidi kuliko Yanga. Hii ya Yanga kuzuia wapinzani wasifanye mazoezi ni ishara ya kutojiamini kutokuwa tayari kwa mechi
 
Hiyo ni hoja tena ya msingi,Hizo kanuni wamezijua jana? Kwani huo utaratibu waliuweka nani si wao na ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa, sababu anajua ndio taratibu zao miaka yote.

Hata hiyo CAF huko Uarabuni mara kibao timu ngeni zinazuiwa kufanya mazoezi ila mechi inapigwa kama kawa na zipo timu nyingine hazifanyi hata mazoezi siku moja kabla ya mechi ila still mechi inapigwa.
Kanuni inaelekeza nini mkuu?
Labda hajawai kukumbana na hali hiyo hapo kabla!
 
Ina maana kanuni zipo kuanzia jana,ila round ya kwanza kanuni hazikuwepo? Maana Yanga hakupewa hiyo nafasi na kucheza alicheza au kanuni zinachagua round 2 na kubagua round ya kwanza?
Kama kanuni zinamruhusu kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi muda sawa na wa mechi yeye akaamua kutofanya hayo mazoezi unadhani TFF watamlazimisha akafanye mazoezi?
 
Kama kanuni zinamruhusu kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi muda sawa na wa mechi yeye akaamua kutofanya hayo mazoezi unadhani TFF watamlazimisha akafanye mazoezi?
TFF mnamlaumu kwa ujinga na mazoea mliyo yaweka na sasa yamekuwa sheria. Miaka yote Derby ya Kko Mgeni huingia uwanjani siku ya mechi akitokea kambini, huku uwanja anapewa mwenyeji.

Sasa kwa mwenye akili sababu hii culture wameiweka wao wenyewe kwa miaka mingi, wangetakiwa kwanza wampe taarifa meneja, kwamba tumebadilisha culture yetu,sasa tumeachana na mazoea tunafuata kanuni. Sasa meneja hamja mwambia na meneja kichwani mwake anajua bado mnaendelea na tamaduni zenu zile zile, hamkumpa taarifa na mmekuja mda ambao sio wa kazi ,sasa ulitegemea meneja afanye nini kama si kuwakataa.
 
Nawaonea huruma wanaotoka mikoani,muda na hela walizotumia kuja angalia game na bado mechi ipo/haipo.
Hapa kuna kuharibiana mapato vs mind games vs visasi vs sheria.
Haya waliofanyiwa simba ndio waliokua wakifanyiwa na muarabu wakienda cheza huko na hata caf hajawahi fanya lolote.
Tukitumia umbumbumbu wa neno ustaarabu watu wataenda lkn wakienda kisheria game hakuna
Kisheria game hakuna sababu gani ?
 
Kisheria game hakuna sababu gani ?
Kisheria game inatakiwa kuwepo ila ninachoona simba watasema hawajafanya mazoezi Kwa kuzuiwa kuingia means fitness hawapo tayari hapa ndio sheria inapobana:
Sheria inasema lazima upeleke timu uwanjani unless otherwise means kuna exception km vile ajali
 
Back
Top Bottom