Simba jiandaeni na kasi ya ajabu ya As Vita.

Township rollas au Makirikiri ndio kiwango cha juu sio?
Rayor sport na Gor mahia ndio wakuwazuia mshike mkia shirikisho?.
Simba ni wabovu hadi kwa Yanga miaka 3 fulululizo anasaka droo?..
Shika adabu
 
Yaani ni bora tusishiriki Michuano ya nje kuliko hisani ya hawa mdomo kunuka wa Manara.
Wakishinda ni faida yao, wasiseme ooh Yanga atapata nafasi, hatutaki, wafungwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ikitokea ikawa .. Mumpishe Azam aende klabu bingwa.
Zahera ana akili kuliko nyie mashabiki chapati
 
Hawa uliowataja wamewahi kuifikisha yanga hatua gani kubwa kuliko hii aliyopo Simba?
 
As Vita hawezi kua na speed kama mechi ya mwanzo, lazima acheze kwa tahadhali,
Kila la kheri Simba ili tuongeze timu, ila ukifungwa sawa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…