Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Yamebaki masaa machache Simba kwenda kulitia taifa aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2770404
Yanga ilikuwa ni timu ya WATU wasio na Akili.
Ilikuwa ni timu ya mashabiki WAPUMBAVU.
Ilikuwa ni timu yenye Mashabiki wengi WAJINGA na wasio na Elimu.
Haya tuma salamu kwa watu watatuView attachment 2770404
Yanga ilikuwa ni timu ya WATU wasio na Akili.
Ilikuwa ni timu ya mashabiki WAPUMBAVU.
Ilikuwa ni timu yenye Mashabiki wengi WAJINGA na wasio na Elimu.
Aahaaaa
Kwahio tukusadiaje
Haya tuma salamu kwa watu watatu
Umesahau kule kwenye mbumbumbu woteHaji MANARA
Napenda kutuma salamu kwa.
' Wenye akili ni wawili tu'
1. Mzee KIKWETE.
2. Mzee manara
Umepotosha, kitabu kinaongelea Elimu na sio akili.Yanga ilikuwa ni timu ya WATU wasio na Akili
Hivi kwa nini Yanga hatushiriki wakati na sisi ni wa tatu Afrika?Yamebaki masaa machache Simba kwenda kulitia taifa aibu.
Tofautisha Elimu na akili ni vitu tofautView attachment 2770404
Yanga ilikuwa ni timu ya WATU wasio na Akili.
Ilikuwa ni timu ya mashabiki WAPUMBAVU.
Ilikuwa ni timu yenye Mashabiki wengi WAJINGA na wasio na Elimu.
Hatushiriki kwasababu hatukuteuliwa.Hivi kwa nini Yanga hatushiriki wakati na sisi ni wa tatu Afrika?
Naunga mkono hojaHatushiriki kwasababu hatukuteuliwa.
Wameamua kumteua Enyimba ambae hata 20 bora hayumo.
Hivyo ranking sio kigezo pekee.
Muulize mangunguHivi kwa nini Yanga hatushiriki wakati na sisi ni wa tatu Afrika?
Kwa hapa Tanzania, ni kwa nini wameiteua Simba wakaiacha giant namba tatu Afrika?Hatushiriki kwasababu hatukuteuliwa.
Wameamua kumteua Enyimba ambae hata 20 bora hayumo.
Hivyo ranking sio kigezo pekee.
Kwa hapa Tanzania, ni kwa nini wameiteua Simba wakaiacha giant namba tatu Afrika?
Aibu ni kwa wasioshiriki. Hakuna anayewathamini wala anayefuatilia mnachofanyaKwa mchezo wenu ule wa papatu mjiandae kuaibisha taifa