Simba kipimo chenu Kombe la Shirikisho ni kufika Fainali na si vinginevyo. Mliwabeza Yanga sasa ngoja tuwaone

Akili yako ndogo sana,ipo hivi ni kombe moja ila majina yalitofautiana tu..nikama hapa Tanzania kulikuwa na Vodacom,n.k sasa ni NBC..ila ligi ni ile ile...we nyumbu kumbuka rais wako Samia aliwathibitishia hili..rais wa nchi kathibitisha alafu mlavianzi vilivyochacha unaleta ulevi wako hapa..shindwa kabisa
Kulikua na makombe matatu, simba mnyama alicheza 3rd tier yaani lile kombe dogo kabisa ndo alicheza simba,

Kwa mfano rahisi ni kama leo acheze conference league pale ulaya.

Tatizo nashabiki tunapenda kujiaminisha vitu ambavyo so uhalisia.

Yanga katoa changamoto na kwa bidii ile hata jina la mwakarobo/kimataifa tunaweza kuja nyang'anywa nalo
 
Kwa hiyo wewe ndio unajua kuliko wizara ya michezo iliyompa Rais Samia report yakwamba Simba sc ilishacheza final shirikisho 1993..nyie washabiki wa yanga mnakinyesi kichwani.Jambo ambalo serikali na nchi yako imethibitisha pasipo shaka..unakuja kumwaga uharo wako huku..acha kupenda vitu vya njano mzee
 
Mimi ni simba, mkuu.

Labda tuulizane ule mwaka supercup alicheza nani na nani?
 
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni!

Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi kama walivyokuwa wakiwabeza Yanga ambao walikwenda mpaka Fainali, tunawasubilia kuwaona namna watakavyofika Fainali ya Kombe hilo waliloliita Looser Cup.

Hicho ndicho kipimo cha kuona watavyovuka kiwepesi mpaka Fainali kutokana na uwepesi wa michuano yenyewe kama walivyojinasibu!

Tunawapongeza pia wanachama na mashabiki wa Simba na viongozi wao makini kina Try Again, Mo dewji, na Mangungu kwa kuiwezesha timu yao kushika nafasi ya tatu, hongereni sana!
Point of correction: Aliyeita kombe la loser ni yule jamaa aliyesema huko UTOPOLO wenye akili ni wawili tu, baada ya kuona Simba kaangukia shirikisho
 
hakuna mshabiki wa yanga mwenye akili..wote akili ni mapupu yenye mavi mavi..sina muda wa kubishana na watu wanaoshabikia timu yenye rangi ya mavi(njano ni mavi)ndio maana akili zenu zina mavi
Cha ajabu unapenda kula maembe ambayo yana rangi hizo (njano na kijani) 🤣🤣🤣🤣
 
Simba ni kama baiskeli ya kunoa visu, makelele mengi lakini haiendi popote
 
Mimi ni simba, mkuu.

Labda tuulizane ule mwaka supercup alicheza nani na nani?
Afrika super cup ni moja tu.
Mshindi wa CAFCL vs Mshindi wa CAFCC.
Hayo masupa kapu mengine ni ya kubebea mchanga.
Simba vs Ahly ilikuwa CAF- African Football Leageue na siyo Supercup
 
Na hatutaki maneno mengi, wafike fainali ndipo waongee.
Hahaaaaa Ahmed Ally kakubali matokeo huko.
1717081535823.jpg
 
Afrika super cup ni moja tu.
Mshindi wa CAFCL vs Mshindi wa CAFCC.
Hayo masupa kapu mengine ni ya kubebea mchanga.
Simba vs Ahly ilikuwa CAF- African Football Leageue na siyo Supercup
1993 kulikuq na mashindano mangapi ya caf?
 
Mashindano 3.
1. Malindi (bingwa wa Muungano) ya Zenji walicheza klabu bingwa.
2. Pamba bingwa wa kombe la Nyerere walicheza kombe la washindi.
3. Simba mwaka huo waliteuliwa kucheza CAF CUP. Hili lilikuwa kombe la hadhi ya mwisho.
 
Caf cup lilikua kombe la hadhi ya mwisho. Na hiyo ndo point yangu toka mwanzo.
Kwa hivi karibuni makombe yalikua mawili na yanga akafika fainali lile kombe la hadhi ya mwisho. Simba kitu pekee ni kuchukua ama kufungwa katika fainali
 
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni!

Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi kama walivyokuwa wakiwabeza Yanga ambao walikwenda mpaka Fainali, tunawasubilia kuwaona namna watakavyofika Fainali ya Kombe hilo waliloliita Looser Cup.

Hicho ndicho kipimo cha kuona watavyovuka kiwepesi mpaka Fainali kutokana na uwepesi wa michuano yenyewe kama walivyojinasibu!

Tunawapongeza pia wanachama na mashabiki wa Simba na viongozi wao makini kina Try Again, Mo dewji, na Mangungu kwa kuiwezesha timu yao kushika nafasi ya tatu, hongereni sana!
Labda waifike fainali huku Jamii forums
 
Back
Top Bottom