Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kabisa, hatutaki stories ooh unajua no way.Na hatutaki maneno mengi, wafike fainali ndipo waongee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, hatutaki stories ooh unajua no way.Na hatutaki maneno mengi, wafike fainali ndipo waongee.
Kulikua na makombe matatu, simba mnyama alicheza 3rd tier yaani lile kombe dogo kabisa ndo alicheza simba,Akili yako ndogo sana,ipo hivi ni kombe moja ila majina yalitofautiana tu..nikama hapa Tanzania kulikuwa na Vodacom,n.k sasa ni NBC..ila ligi ni ile ile...we nyumbu kumbuka rais wako Samia aliwathibitishia hili..rais wa nchi kathibitisha alafu mlavianzi vilivyochacha unaleta ulevi wako hapa..shindwa kabisa
Kwa hiyo wewe ndio unajua kuliko wizara ya michezo iliyompa Rais Samia report yakwamba Simba sc ilishacheza final shirikisho 1993..nyie washabiki wa yanga mnakinyesi kichwani.Jambo ambalo serikali na nchi yako imethibitisha pasipo shaka..unakuja kumwaga uharo wako huku..acha kupenda vitu vya njano mzeeKulikua na makombe matatu, simba mnyama alicheza 3rd tier yaani lile kombe dogo kabisa ndo alicheza simba,
Kwa mfano rahisi ni kama leo acheze conference league pale ulaya.
Tatizo nashabiki tunapenda kujiaminisha vitu ambavyo so uhalisia.
Yanga katoa changamoto na kwa bidii ile hata jina la mwakarobo/kimataifa tunaweza kuja nyang'anywa nalo
Mimi ni simba, mkuu.Kwa hiyo wewe ndio unajua kuliko wizara ya michezo iliyompa Rais Samia report yakwamba Simba sc ilishacheza final shirikisho 1993..nyie washabiki wa yanga mnakinyesi kichwani.Jambo ambalo serikali na nchi yako imethibitisha pasipo shaka..unakuja kumwaga uharo wako huku..acha kupenda vitu vya njano mzee
Point of correction: Aliyeita kombe la loser ni yule jamaa aliyesema huko UTOPOLO wenye akili ni wawili tu, baada ya kuona Simba kaangukia shirikishoRasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni!
Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi kama walivyokuwa wakiwabeza Yanga ambao walikwenda mpaka Fainali, tunawasubilia kuwaona namna watakavyofika Fainali ya Kombe hilo waliloliita Looser Cup.
Hicho ndicho kipimo cha kuona watavyovuka kiwepesi mpaka Fainali kutokana na uwepesi wa michuano yenyewe kama walivyojinasibu!
Tunawapongeza pia wanachama na mashabiki wa Simba na viongozi wao makini kina Try Again, Mo dewji, na Mangungu kwa kuiwezesha timu yao kushika nafasi ya tatu, hongereni sana!
AaaahaaaLabda Fainali ya kujamba
Swali zuri sanaMimi ni simba, mkuu.
Labda tuulizane ule mwaka supercup alicheza nani na nani?
HatojibuSwali zuri sana
Cha ajabu unapenda kula maembe ambayo yana rangi hizo (njano na kijani) 🤣🤣🤣🤣hakuna mshabiki wa yanga mwenye akili..wote akili ni mapupu yenye mavi mavi..sina muda wa kubishana na watu wanaoshabikia timu yenye rangi ya mavi(njano ni mavi)ndio maana akili zenu zina mavi
Afrika super cup ni moja tu.Mimi ni simba, mkuu.
Labda tuulizane ule mwaka supercup alicheza nani na nani?
Hahaaaaa Ahmed Ally kakubali matokeo huko.Na hatutaki maneno mengi, wafike fainali ndipo waongee.
Umempiga za uso mkuu.Afrika super cup ni moja tu.
Mshindi wa CAFCL vs Mshindi wa CAFCC.
Hayo masupa kapu mengine ni ya kubebea mchanga.
Simba vs Ahly ilikuwa CAF- African Football Leageue na siyo Supercup
1993 kulikuq na mashindano mangapi ya caf?Afrika super cup ni moja tu.
Mshindi wa CAFCL vs Mshindi wa CAFCC.
Hayo masupa kapu mengine ni ya kubebea mchanga.
Simba vs Ahly ilikuwa CAF- African Football Leageue na siyo Supercup
Hivi Bichwa komwe ni jinsia gani?Umemsahau Bichwa komwe
Mashindano 3.1993 kulikuq na mashindano mangapi ya caf?
Caf cup lilikua kombe la hadhi ya mwisho. Na hiyo ndo point yangu toka mwanzo.Mashindano 3.
1. Malindi (bingwa wa Muungano) ya Zenji walicheza klabu bingwa.
2. Pamba bingwa wa kombe la Nyerere walicheza kombe la washindi.
3. Simba mwaka huo waliteuliwa kucheza CAF CUP. Hili lilikuwa kombe la hadhi ya mwisho.
Labda waifike fainali huku Jamii forumsRasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni!