Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Nimepata taarifa za Simba kuomba mechi yake na KMC ikapigwe Arusha badala ya uwanja wa awali uliotakiwa ipigwe mechi husika wa meja isamuyo kule mbweni!
Ninachokiona hapa kina jaribu tena wameona mashabiki watakuwa wachache na ikichochewa na jambo la yanga inayotegemea kufanya sherehe zake za kukabidhiwa ubingwa wake wa 30 pale kwenye dimba la benjamini mkapa ambapo Ali Kamwe keshaweka wazi kuwa kombe ilo litashushwa kwa paredi ya helicopta uku paredi ya ardhini pia ikipamba moto!