Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Kwa TFF inawezekana ikiwa fainali ya FA wamepeleka ZnzKanuni zina ruhusu timu kuchagua viwili tu nje ya uwanja wake kwa msimu mmoja tayari simba isha tumia Kirumba na Morogoro inakuje tena wanaenda Arusha imetumika kanuni ipi? Hata kupeleka uwanja wa JKT bado ni makosa
Umempa jibu sahihiKwa TFF inawezekana ikiwa fainali ya FA wamepeleka Znz
Aliyeamisha mechi ndio mwenyejiHiyo mechi nani mwenyeji?
Mwenyeji ni wewe? We mjukuu wa allah mbona una IQ ndogo sana? We si umeona Simba ndio wamehamisha inamaanisha wao ndio wenyeji wa mechi hiyo.Hiyo mechi nani mwenyeji?
unyiramba unakusumbuaNimepata taarifa za Simba kuomba mechi yake na KMC ikapigwe Arusha badala ya uwanja wa awali uliotakiwa ipigwe mechi husika wa meja isamuyo kule mbweni!
Ninachokiona hapa kina jaribu tena wameona mashabiki watakuwa wachache na ikichochewa na jambo la yanga inayotegemea kufanya sherehe zake za kukabidhiwa ubingwa wake wa 30 pale kwenye dimba la benjamini mkapa ambapo Ali Kamwe keshaweka wazi kuwa kombe ilo litashushwa kwa paredi ya helicopta uku paredi ya ardhini pia ikipamba moto!
Itakuwa.Nimepata taarifa za Simba kuomba mechi yake na KMC ikapigwe Arusha badala ya uwanja wa awali uliotakiwa ipigwe mechi husika wa meja isamuyo kule mbweni!
Ninachokiona hapa kina jaribu tena wameona mashabiki watakuwa wachache na ikichochewa na jambo la yanga inayotegemea kufanya sherehe zake za kukabidhiwa ubingwa wake wa 30 pale kwenye dimba la benjamini mkapa ambapo Ali Kamwe keshaweka wazi kuwa kombe ilo litashushwa kwa paredi ya helicopta uku paredi ya ardhini pia ikipamba moto!
Basi Yanga wakachezee Arusha ili aifuate Simba. Hizi akili zinatofautiana sanaNimepata taarifa za Simba kuomba mechi yake na KMC ikapigwe Arusha badala ya uwanja wa awali uliotakiwa ipigwe mechi husika wa meja isamuyo kule mbweni!
Ninachokiona hapa kina jaribu tena wameona mashabiki watakuwa wachache na ikichochewa na jambo la yanga inayotegemea kufanya sherehe zake za kukabidhiwa ubingwa wake wa 30 pale kwenye dimba la benjamini mkapa ambapo Ali Kamwe keshaweka wazi kuwa kombe ilo litashushwa kwa paredi ya helicopta uku paredi ya ardhini pia ikipamba moto!
Neno "IQ" linatumika vibaya...πMwenyeji ni wewe? We mjukuu wa allah mbona una IQ ndogo sana? We si umeona Simba ndio wamehamisha inamaanisha wao ndio wenyeji wa mechi hiyo.
Paka wa ferry kazi yake ni kuokota mizoga ya samaki tu hajui nini maana ya IQ.πππππNeno "IQ" linatumika vibaya...π
Haokoti mizoga,yeye harufu ya shombo la samaki tu inamtoshaπPaka wa ferry kazi yake ni kuokota mizoga ya samaki tu hajui nini maana ya IQ.πππππ
Waende tu huko Watuwache wanaumeeπππͺππͺπͺπͺ tufurahie ushindwe sieee