Simba kucheza uwanja uliojaa kule Tripoli wanaona ni sifa

Simba kucheza uwanja uliojaa kule Tripoli wanaona ni sifa

Uto wenye akili ni wawili aise yani mnathibitisha na mada mnazo tupia humu aise ila uzuri mwehu haoni aibu. 😃😀😆😆😄😂😂😁😁 Ni wawili tu.
 
Umeanza kushabikia mpira juzi,Simba ameshazifunga sana timu za kiarabu kuliko timu yoyote nchini,si ajabu kumfunga nwarabu ila sio kitu cha kubeza,waarabu wanafitna sana ndani nanje ya uwanja,na wamewekeza sana,huyo mambululu aba thanani ya bilioni 4 sijui,
Inawezekana una mtindio wa ubongo na hujaelewa tunachozungumzia ,, hapa mada ni kuwafunga waarabu kwao wakiwa full house sijazungumzia wakiwa dar es salaam 😂😂😂😂😂 NB : epuka kujifanya umeelewa kumbe umelewa na upo nje ya mada
 
Simba ilikuamiaka Ile ya kina Golden boy.
Hii ya Sasa hivi sawa na polisi Moro au KMC.
 
Back
Top Bottom