Simba kuchezeshwa saa nane za usiku na mwarabu

Simba kuchezeshwa saa nane za usiku na mwarabu

SIMBA KUCHEZESHWA SAA NANE USIKU NA MWARABU.

KWA Mjibu wa ratiba iliyopo Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) inaonesha kuwa Mchezo wa Mwisho wa Mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Raja Casablanca [emoji1026] na Simba [emoji1241] utachezwa Jumamosi ya April 1,2023 kuanzia saa nane kamili usiku. Kutokana na uzee wa wachezaji wetu ...sitoshangaa wakianza kusinzia uwanjani
Ni kwa sababu ya ujinga tu kutokana na kushindwa kuendelea na elimu walau ya sekondari. Hiyo saa nane ni kwa masaa ya Tanzania, lakini actually kwa eneo watakapokuwa wanachezea mpira (Morocco), huo muda ni saa tano. Sema tu siwezi kukufundisha hapa kila kitu kwa muda mfupi ukaelewa, inabidi kwanza uwe na msingi mzuri wa elimu, jambo ambalo bahati mbaya hauna
 
Una fikra na maoni ya kimadenge madenge!!
 
Back
Top Bottom