Simba kufungwa Novemba 27,2024. Yajayo yanatisha

Baada ya kutulia toka nilivyotoka ziarani nchini Uganda kwa museveni na GENTAMYCINE nimefanikiwa kufanya uchambuzi wa kina kati ya timu ya Simba na wapinzani wao Bravos Kwa kweli takwimu za Bravos kuibuka na ushindi zinatisha.

Kama tu Makolo de Mbu mbu Mbu walishindwa kuibuka na ushindi dhidi ya pamba (note goli la penalty sio goli) wataweza kuwadhibiti hawa wapinzani wao?

Hivyo Kwavile marefa wa kibongo hawatakuwepo ndivyo makolo watakandwa heavily.

NB: Kuna watu wanasema sijui loser cup (kombe la wamama ni rahisi hivyo makolo watashinda) ndio loser cup ni kurahisi .... lakini siyo Kwa makolo waliozoea kubebwa NBC premier league.

Makolo watakandwa heavily 2-0.

View attachment 3160930
Pole sana...
 
dada labani hali yetu ni ngumu umeangalia match yetu ya jana????????????
 
Baada ya kutulia toka nilivyotoka ziarani nchini Uganda kwa museveni na GENTAMYCINE nimefanikiwa kufanya uchambuzi wa kina kati ya timu ya Simba na wapinzani wao Bravos Kwa kweli takwimu za Bravos kuibuka na ushindi zinatisha.

Kama tu Makolo de Mbu mbu Mbu walishindwa kuibuka na ushindi dhidi ya pamba (note goli la penalty sio goli) wataweza kuwadhibiti hawa wapinzani wao?

Hivyo Kwavile marefa wa kibongo hawatakuwepo ndivyo makolo watakandwa heavily.

NB: Kuna watu wanasema sijui loser cup (kombe la wamama ni rahisi hivyo makolo watashinda) ndio loser cup ni kurahisi .... lakini siyo Kwa makolo waliozoea kubebwa NBC premier league.

Makolo watakandwa heavily 2-0.

View attachment 3160930
Ushabiki wa kipuuzi kabisa huu na utabiri uliozidi upumbavu wowote ule
 
Mkuu ...lkn kama haikua penalty...msingeshinda....

Ushindi wa penalty....nisawa na mpinzani wako kufungwa kamba....then wewe unajipigia
 
FB_IMG_17328216798305267.jpg
 
Back
Top Bottom