NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #41
Yaani wewe ndiyo popoma kabisa haujawahi kutokea aiseeHakuna ulichoweka Sawa. Ukipewa odds nyingi maana yake ni underdog bila kujali uko nyumbani au away. Bayern Leo ana odds kubwa kuliko man city mgeni.
Wewe Jamaa ni likilaza Sanaa. Kwa hiyo unaamini kila timu ikiwa away inapewa odds kubwa Kwa sababu ya ugeni. Hakika wewe ni likilaza.Yaani wewe ndiyo popoma kabisa haujawahi kutokea aisee
Unaweza kusema ni tathimin gani zinaangaliwa nakusema kuwa timu fulani ni underdog.Wewe Jamaa ni likilaza Sanaa. Kwa hiyo unaamini kila timu ikiwa away inapewa odds kubwa Kwa sababu ya ugeni. Hakika wewe ni likilaza.
Hapo tunaenda Sawa. Underdog maana yake mshindani mwenye nafasi ndogo ya kushinda. Takwimu za timu ndio zinaplekea timu ipi ndio underdog. Takwimu zinahusisha performance za hizo timu kwenye ligi inazoshiriki, matokeo ya head to head, wachezaji muhimu wanaokosekana ,etc. Kwa hiyo hivyo vyote vinaangaliwa na kuhitimisha kuwa Kwa mechi hii timu fulani itakuwa underdog.Unaweza kusema ni tathimin gani zinaangaliwa nakusema kuwa timu fulani ni underdog.
Tengeneza hoja na sitaki utengeneze umbeya.
Bwana mdogo bado kabisa katika masuala ya mpiraHapo tunaenda Sawa. Underdog maana yake mshindani mwenye nafasi ndogo ya kushinda. Takwimu za timu ndio zinaplekea timu ipi ndio underdog. Takwimu zinahusisha performance za hizo timu kwenye ligi inazoshiriki, matokeo ya head to head, wachezaji muhimu wanaokosekana ,etc. Kwa hiyo hivyo vyote vinaangaliwa na kuhitimisha kuwa Kwa mechi hii timu fulani itakuwa underdog.
Ni kipi kichotazamwa mpaka kusema kuwa yanga ni underdog kwa Simba ???Hapo tunaenda Sawa. Underdog maana yake mshindani mwenye nafasi ndogo ya kushinda. Takwimu za timu ndio zinaplekea timu ipi ndio underdog. Takwimu zinahusisha performance za hizo timu kwenye ligi inazoshiriki, matokeo ya head to head, wachezaji muhimu wanaokosekana ,etc. Kwa hiyo hivyo vyote vinaangaliwa na kuhitimisha kuwa Kwa mechi hii timu fulani itakuwa underdog.
Kwa hiyo Wolves akicheza nyumbani na Man City.Man City atakuwa na odds kubwa kwa sababu anacheza away?odds nyingi ni kwa kua yanga alikua away, nimeweka sawa kwenye odds tu apo
Yaani unataka kutuambia Simba na Yanga wakicheza Kwa Mkapa kuna timu ina advantage ya kuwa home na nyingine away.odds nyingi ni kwa kua yanga alikua away, nimeweka sawa kwenye odds tu apo
Performance kwenye NBC na champions League.Ni kipi kichotazamwa mpaka kusema kuwa yanga ni underdog kwa Simba ???
Hayo umesema wewe Sasa Lakini syo takwimu za kimpiraPerformance kwenye NBC na champions League.
Umeelewa vizuri nilichokiandika hapo juu.Kwani wao wamesema yanga ndio kigezo chao.Sio yanga walisema simba wataifunga sababu wameifunga TP wazembe.Washabiki lakini.
Ndio takwimu zenyewe hizo. Man city ni bora kuliko Arsenal pamoja na kwamba Arsenal anaongoza ligi. Ubora WA man city unaonekana kutokana na performance kwenye ligi hiyo hiyo anayoongoza arsenal pamoja na champions LeagueHayo umesema wewe Sasa Lakini syo takwimu za kimpira
Endelea kukaza mishipa ya shingo sasaNdio takwimu zenyewe hizo. Man city ni bora kuliko Arsenal pamoja na kwamba Arsenal anaongoza ligi. Ubora WA man city unaonekana kutokana na performance kwenye ligi hiyo hiyo anayoongoza arsenal pamoja na champions League
Hakuna Cha maana ulichoandika ni pumba tu wenge la kutobolewa tar 16 halijaisha tu?Punguza makasiriko popoma wewe [emoji41] unakimbilia MATUSI bila kutafakari nilichokiandika.
Hasira za kutobolewa tar 16 hazijaisha tu [emoji23][emoji23][emoji23] kubalini tu mmebongolewa acheni kujificha kwenye kichaka Cha whdad[emoji2][emoji2] washajiona wako juu zaidi ya wydad..kitakachokuja kuwatokea Niko pale airport kuwapokea.
Acha hasira mkuu kutobolewa na Simba sio mwisho wa maishaTuliza bichwa chini bimbilisa mavi wewe[emoji41]
Kama huyu alivyoachia shuzi mbele ya watu zaidi ya 60,000Cheka taratibu usije ukajamba mbele ya wanaume[emoji41]
Hiyo haiondoi ukweli kwamba tar 16 mlitobolewaNdege iliyowabeba wababe wenu naiona kwenye anga la Musoma sasa hivi. Baada ya saa 1 itakuwa JKNIA. Boeing 737-8B6 ya Air Morocco [emoji1173]
Kama mlitobolewa tar 16Ngoja waje hao jamaaa wapige mtu kifo Cha mende.