Simba kukipiga na El-Qanah ya Misri, Mechi ya kwanza kirafiki hapo kesho 22.07.2024

Kocha wetu mwenyewe alisema washacheza mechi kadhaa kwa interval ya dk 45 na dk 75.
 
Si tunajua mechi ilishapigwa
 
Msiwafiche MAKOLO waambieni na jina la timu ni Tersana. Imecheza playoff kuwania nafasi Moja ya kupanda daraja (Egyptian Second Division A) kwenye ligi ya timu 6 ikatokea ya mwisho kwa kupata alama 4.
Aaahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…