Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Shikamoo kolo.Pimbi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo kolo.Pimbi wewe
Marahaba UtopoloShikamoo kolo.
Ngapi ngapina?Marahaba Utopolo
Kocha wetu mwenyewe alisema washacheza mechi kadhaa kwa interval ya dk 45 na dk 75.Ewe Mpenzi wa Soka na mfuatiliaji wa Timu kubwa Pinzani za Tanzania yaani Simba SC na Young Africans habari hizi zikufikie popopte ulipo.
Timu ya Simba iliyopo kwenye maandalizi ya msimu ujao itakipiga na El-Qanah ya Misri ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya kirafiki katika mandalizi ya Msimu ujao.
Mechi hii itapigwa katika dimba la Old-Suez Canal kuanzia majira ya saa 11:30 jioni.
Kwa habari hii, tafadhali puuzeni habari za uzushi kuwa Simba SC imeshacheza mechi ya kirafiki kisirisiri na kuambulia kipigo cha 6 -2. Habari hizo si kweli na watoa habari walikuwa na lengo la kutengeneza Propaganda kwa maslahi wanayojua wao..🤣😂
Tunaongoza kwa 2.Ngapi ngapina?
Kwahiyo Augsburg kucheza na timu ndogo kama yenu ni vichaa?Wenye akili mnacheza na timu ya daraja la pili
Ukiangalia picha ya huyo jamaa aliyepo nyuma inaonesha hali ya uzuni sana
Yaani, hii siri inaweza kuwa bomu hapo baadaeUkiangalia picha ya huyo jamaa aliyepo nyuma inaonesha hali ya uzuni sana
Hili ni la msingi sanaSawa ila hatutaki thread za mangungu mkipewa doZi.
Kama jandoMechi inafanywa kwa siri sana
Si tunajua mechi ilishapigwaEwe Mpenzi wa Soka na mfuatiliaji wa Timu kubwa Pinzani za Tanzania yaani Simba SC na Young Africans habari hizi zikufikie popopte ulipo.
Timu ya Simba iliyopo kwenye maandalizi ya msimu ujao itakipiga na El-Qanah ya Misri ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya kirafiki katika mandalizi ya Msimu ujao.
Mechi hii itapigwa katika dimba la Old-Suez Canal kuanzia majira ya saa 11:30 jioni.
Kwa habari hii, tafadhali puuzeni habari za uzushi kuwa Simba SC imeshacheza mechi ya kirafiki kisirisiri na kuambulia kipigo cha 6 -2. Habari hizo si kweli na watoa habari walikuwa na lengo la kutengeneza Propaganda kwa maslahi wanayojua wao..🤣😂
================UPDATES============
View attachment 3049266
Mmeshinda tatu huko lakiniYaani, hii siri inaweza kuwa bomu hapo baadae
AahaaaaHawataionesha hii mechi. Mechi ya kisirisiri
Aaahaaa
AaaahaaaYaani, hii siri inaweza kuwa bomu hapo baadae
AaahaaaaMsiwafiche MAKOLO waambieni na jina la timu ni Tersana. Imecheza playoff kuwania nafasi Moja ya kupanda daraja (Egyptian Second Division A) kwenye ligi ya timu 6 ikatokea ya mwisho kwa kupata alama 4.
Kwanza asante kwa kukubali kuwa Augsburg ni timu kubwa. Pili, ukiita timu ilikuyochabanga tano kuwa ni ndogo, nyie wa kufungwa tano sijui ni ndogest..!!!Kwahiyo Augsburg kucheza na timu ndogo kama yenu ni vichaa?